hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, August 29, 2014

YALIYOJIRI KWENYE SHOO YA TWANGA PEPETA KATIKA CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (katikati) akiimba pamoja na waimbaji wake kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya maisha jijini Dar
 Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiimba kwa hisia kubwa kwa mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu kushoto ni  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu 
  Haji Ramadhani(wa kwanza kulia) akiimba pamoja na waimbaji wenzake wa Twanga Pepeta kwenye club ya Maisha jijini Dar
 Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior akiendelea kuwaburudisha mashabiki wao kwenye ukumbi wa maisha jijini Dar

 Dogo Rama akifanya ya kwake
Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.

No comments:

Post a Comment