hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, August 25, 2014

YALIYOJIRI KWENYE USIKU WA MARAFIKI WA DIVA ILIYOFANYIKA CLUB MAISHA JIJINI DAR

Bob Junior akitoa burudani ya nguvu club Maisha ya jijini Dar
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Godzilla akiimba mbele ya mashabiki wae kwenye Club ya maisha jijini Dar es Salaam
Cindy akifanya ya kwake kwenye stage
Wadananda wakifanya ya kwao
Ni raha tuu
Nuhu Mziwanda akiwaburudisha mashabiki wake 
Nuhu Mziwanda akicheza na wacheza shoo wake
Khasim Mganga akitoa burudani ya nguvu kwenye tamasha la Diva lililofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar
Mmoja wa wadada waliopendeza akipewa zawadi yake kutoka kwenye Duka la Ndio Fashion
Akifurahia zawadi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akitoa burudani ya nguvu 
Shetta akiimba na Chid Benz kwenye shoo ya Diva iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar



Shilole akifanya ya kwake

No comments:

Post a Comment