hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, May 12, 2013

MCHEZA FILAMU ZA NGONO SEHEM YA 1



Kampuni ya kutengeneza filamu za ngono ya Digital Playground ndio ambayo ilikuwa ikivuma sana katika kipindi hicho duniani kutokana na filamu zake za ngono kuwa katika ubora mkubwa huku wakijitahidi kuwasainisha mikataba wasichana mbalimbali ambao walikuwa warembo kwa ajili ya kucheza filamu mbalimbali za ngono.

Kampuni hii ambayo ilianza mwaka 1988 ilikuwa kampuni ya tatu ya filamu za ngono zilizowahi kutengenezwa ambayo mpaka muda huo ilikuwa ikiendelea kuwepo. Makampuni mengi ya kutengeza filamu za ngono yalikuwa yamefilisika hadi hatua ambayo iliyafanya kutokuwepo kabisa na kusahaulika.
Wasichana wengi walikuwa wakitamani kujiunga na kampuni hiyo, hawakujali kama wangejiunga na kampuni hiyo viungo vyao vyote vya mwili vingeweza kuonekana na kila atakayekwenda kuziangalia filamu zile au la, kitu ambacho walikuwa wakikiangalia katika kipindi kile ni fedha tu.
Kampuni hiyo ndio ilikuwa kampuni ambayo ilikuwa ikiwalipa waigizaji wake kiasi kikubwa cha fedha huku nayo ikiingiza kiasi kikubwa zaidi kwa kufanya CD za video zao kununulika kupita kawaida na hata wakati mwingine kuendelea kuziuza katika mitandao mbalimbali duniani ukiwepo mtandao wa Brazzers.
Watu walikuwa wakiingiza fedha kupita kawaida, siku ya usaili wa kuchagua wasichana ambao wangeingia mikataba ifikapo, wasichana zaidi ya mia tano kutoka sehemu mbalimbali walikuwa wakikusanyika kwa ajili ya kufanyiwa usaili.
Kila msichana alitaka kuwa na jina kubwa pamoja na fedha nyingi kama alizokuwa nazo msichana Katie Mike ambaye alikuwa miongoni mwa masupastaa wakubwa ambao walikuwa wakicheza filamu hizo nchini Marekani ndani ya kampuni hiyo kubwa ya Digital Playground.
Katie alikuwa miongoni mwa matajiri wakubwa ambao walikuwa wakijishughulisha na kucheza filamu zile. Kazi yake ile ndio ambayo ilionekana kumpa fedha kila siku, kuuacha mwili wake wazi na kufanya mapenzi na wanaume mbele ya kamera ndio yalikuwa maisha yake ya kila siku.
Katie hakuonekana kujisikia aibu mbele ya kamera, kila alipokuwa mbele ya kamera, alikuwa akionekana kuwa makini na kazi yake kuliko muigizaji yeyote wa muvi zile. Katie akapata jina kubwa nchini Marekani hasa kwa kila mtu ambaye alikuwa akipenda kuangalia filamu zile.
Katie alianza kuigiza filamu zile tangu alipofikisha miaka kumi na nane. Maisha ya shida ambayo alikuwa akiishi kipindi cha nyuma ndio ambayo yalimsukuma kujiingiza katika uigizaji wa filamu zile. Wazazi wake walikuwa wamekwishafariki, hakuwa na ndugu yeyote yule, maisha ya mitaani ndio yalikuwa maisha yake.
Alipofikisha umri wa miaka kumi na saba huku akiwa bado mtaani ndipo hapo alipoona tangazo kwamba watu ambao walikuwa wakitaka kuigiza muvi za ngono walikuwa wakihitajika kwa ajili ya kufanyiwa usaili katika kampuni ya filamu zile ya Digital Playground. Katie hakuonekana kuamini, kila siku alikuwa akihitaji kupata fedha kwa ajili ya kujikimu na maisha yake ya tabu, tangazo lile kwake likaonekana kuwa kama bahati kubwa na nzuri, hivyo hakutaka kuiacha ikipita.
Siku iliyofuata asubuhi na mapema akaelekea bafuni kuoga. Kitu cha kwanza ambacho alikifanya bafuni mule ni kuangalia sehemu zake za siri. Alichukua muda mrefu kuziangalia na kisha kuanza kuoga. Ingawa alijua kwamba alikuwa na umri mdogo lakini wala hakuonekana kujali, hakuonekana kuhofia kitu chochote kile, bado alikuwa akitaka kuwa miongoni mwa waigizaji wa muvi zile.
Alipomaliza kuoga, akajiandaa na kuanza kuelekea katika ofisi za kampuni ile. Wanawake zaidi ya mia saba walikuwa wamefika mahali pale. Walikuwa wanawake wa kila rika na kila ngozi. Walikuwepo wanawake wa kizungu, kiarabu, waswahili na hata wahindi na waarabu.
Kila mtu alikuwa akitaka kufanyiwa usaili na hatimae aanze kuigiza filamu zile huku lengo likiwa ni kupata fedha tu. Kila mtu ambaye alimuona Katie alionekana kumshangaa, hakukuwa na mtu ambaye aliamini kama Katie angekuwa miongozi mwa wanawake ambao walikuwa mahali pale.
Kwa muonekano tu, alionekana kuwa binti mdogo ambaye hakuwa amefikisha miaka kumi na nane. Huku akiwa amepanga foleni kwa ajili ya kuchukua namba kwenye kidirisha, akajikuta akifuatwa na wanaume wawili na kisha kutolewa katika foleni ile.
“What are you doing here? (Unafanya nini hapa?)” Mwanaume mmoja alimuuliza kwa sauti iliyojaa ukali kidogo.
“I want to be a porn movie star (Nataka kuwa muigizaji wa filamu za ngono)” Katie alijibu huku akimwangalia mwanaume yule aliyemuuliza swali lile.
Katie hakuonekana kujisikia aibu hata kidogo, lengo lake kwa wakati huo lilikuwa ni kutaka kuigiza filamu za ngono tu kwa ajili ya kupata fedha na kumuondoa katika umasikini ambao alikuwa nao. Wanaume wale wakabaki wakiangaliana tu, hawakuamini kama Katie angekuwa jasiri kuwajibu namna ile.
“Damnfool! You are fucking too young, get out of here! ( Pumbafu kabisa! U mdogo mno, toka mahali hapa)” Mwanaume yule alimwambia Katie huku akionekana kukasirika.
Katie hakutaka kuondoka, bado alikuwa aking’ang’ania kubaki mahali hapo kwa ajili ya kuchukuliwa na kupelekwa katika usaili. Fujo ikaanza kutokea, wanaume wale walikuwa wakimtaka Katie aondoke mahali pale lakini Katie hakutaka kuelewa kitu chochote kile, bado alikuwa aking’ang’ania kubaki na kuingia kwenye usaili.
Maisha ya mitaani yakaonekana kumharibu Katie, fujo ambazo alikuwa akizileta mahali pale zilikuwa kubwa. Hakushikika kirahisi, alikuwa akileta sana fujo mpaka kufikia hatua Meneja wa kampuni ile kutokea mahali hapo hasa baada ya kusikia kelele.
“What the hell is going on here? (Nini kinaendelea hapa?)”
“This kid (Huyu mtoto)”
“What the hell with her? (Amefanya nini)”
“She wants to be a porn movie star (Anataka kuwa muigizaji wa filamu za ngono)” Mwanaume yule alijibu hali iliyowasababisha wanawake ambao walikuwa wamepanga foleni kuanza kucheka.
“You must be kiddin’ me (Ni lazima mtakuwa mnanitania)” Meneja yule, Bwana Donald alisema huku akionekana kushangaa.
“I want to be a porn movie star (Ninataka kuwa muigizaji wa filamu za ngono)” Katie alimwambia Bwana Donald ambaye akaonekana kutokuamini.
Alichokifanya Bwana Donald ni kumchukua Katie na kuanza kuelekea ofisini mwake kwani aliona kama binti yule angeendelea kubaki mahali pale basi fujo zaidi zingeendelea kutokea mahali pale. Walipofika ofisini, akaambiwa akae kwenye kiti kimojawapo kati ya viti vilivyokuwa ndani ya ofisi ile na kisha mazungumzo kuanza.
“Unasema unataka kuwa nani?” Bwana Donald alimuuliza.
“Muigizaji wa filamu za ngono” Katie alijibu huku akijaribu kuyafuta machozi yaliyokuwa yakimtoka.
“Unaitwa nani?”
“Naitwa Katie Mike”
“Una miaka mingapi?”
“Kumi na saba”
“U mdogo sana Katie. Hatuwezi kukuajiri katika kampuni hii, na kama tukifanya hivyo basi tunaweza kuchukuliwa hatua kali za kisheria na Serikali. Hatutaki jambo hilo litokee” Bwana Donald alimwambia Katie.
“Nataka kuigiza”
“Haiwezekani. Nenda nyumbani, tutakapohitaji watu wengine mwaka kesho, utatakiwa uje na kujaribu bahati yako” Bwana Donald alimwambia Katie.
Katie hakuonekana kuelewa kitu chochote kile, bado alikuwa aking’ang’ania kuwa miongoni mwa waigizaji wa filamu zile za ngono. Bwana Donald akaonekana kumsoma Katie, tayari aliona kuna kitu ambacho kilikuwa kinaendelea katika maisha ya msichana yule.
“Unaishi wapi?”
“Mtaani?”
“Mtaani? Mtaa upi?”
“Woodmere 45”
“Unaishi na nani?”
“Na wenzangu”
“Wenzako wakina nani?”
“Wenzangu. Watoto wenzangu”
“Mungu wangu! Kwa hiyo wewe ni mtoto wa mitaani?”
“Ndio”
“Ok! Nimeshaelewa.” Bwana Donald alisema.
Hapo hapo Bwana Donald akaingiza mkono wake mfukoni na kutoa pochi yake, akaifungua na kutoa kiasi cha dola mia tatu na kumkabidhi Katie. Kiasi kile kikaonekana kuwa kikubwa kwa Katie, akakichukua na kukiweka katika mifuko ya suruali yake ya jinzi.
“Sisi kama kampuni tutakuwa tunakutunza mpaka mwaka ujao utakapofika. Tutakupa mkataba bila kukufanyia usaili wowote ule. Tutakusaidia kwa kila kitu katika kipindi hiki. Kama itawezekana, kila mwisho wa wiki njoo uchukue kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kukusaidia katika maisha yako ya kila siku. Utakapofika mwaka kesho, tutakupa mkataba na kuanza kuigiza filamu hizo katika kampuni yetu hii” Bwana Donald alimwambia Katie ambaye akaonekana kuelewa na kuondoka mahali hapo.
Kuanzia hapo kidogo maisha ya Katie yakaanza kubadilika, kiasi cha fedha ambacho alikuwa akikipata kila wiki kilionekana kumsaidia. Kitu alichokifanya kwa wakati huo ni kuanza mazoezi mapema. Akaanza kufanya mapenzi na vijana mbalimbali wa mitaani, kitu ambacho alikuwa akikihitaji sana katika kipindi hicho ni kuizoesha njia yake sehemu za siri ili hata atakapoanza kazi hiyo asiweze kusikia maumivu yoyote yale.
Kati ya wavulana wote ambao alikuwa akifanya nao mapenzi, Daniel. akaonekana kuvutiwa nae. Daniel akaanza kumpenda Katie. Mara kwa mara Daniel alikuwa akifanya mapenzi na Katie. Kwake akaanza kumchukulia kama mpenzi wake japokuwa kichwani mwa Katie kulikuwa na kitu kingine kabisa, alikuwa kwenye mazoezi mazito.
Kila siku Daniel alijitahidi kumwambia Katie maneno mbalimbali ya mapenzi lakini Katie hakuonekana kuelewa kitu chochote kile, kwake hakuhitaji uhusiano. Uhusiano wala haukuwa ukikubaliwa hata kidogo lakini kila wakati Daniel alipohitaji kufanya mapenzi na Katie, Katie hakuweza kuleta kipingamizi chochote kile.
Siku ziliendelea kukatika, njia ya sehemu ya siri ya Katie ikajitosheleza. Mwaka ukaisha na mwaka mwingine ulipoingia, mwezi wa nne, akaanza kuelekea katika ofisi ile huku akiwa amekwishafikisha miaka kumi na nane. Kwa sababu walimuona kuwa mtu wao, moja kwa moja Katie akasaini mkataba wa kulipwa kiasi kikubwa cha fedha na kisha kuanza kazi ya kuigiza filamu za ngono katika kampuni hiyo ya Digital Playground iliyokuwa nchini Marekani katika jiji la New York.
Kwa sasa, miaka saba ilikuwa imepita, kwa kipindi hiki Katie alikuwa na miaka ishirini na tano. Tayari kile ambacho alikuwa akikihitaji alikuwa amekwishakipata. Alikuwa akimiliki kiasi kikubwa cha fedha. Kwa kuwa alikuwa amejiingiza katika uigizaji wa filamu zile, kamwe hakuacha, bado alikuwa akiigiza zaidi na zaidi.
Daniel hakuwa akilini mwake katika kipindi hicho. Aliamua kutengana nae mara tu alipoanza kuigiza filamu zile. Jina lake lilikuwa kubwa sana, alikuwa akiigiza filamu nyingi sana ambazo zilikuwa zikiingizia kampuni kiasi kikubwa cha fedha.
Uzuri wake ndio ambao uliwafanya watu kupenda kununua filamu ambazo alikuwa ameigiza. Filamu nyingi ambazo zilikuwa zikitengenezwa na kampuni ile zilikuwa ni filamu ndefu zilizojaa visa lakini zilikuwa zimejaa ngono kila wakati. Picha zake zilikuwa zikitolewa kwenye majarida na magazeti mbalimbali, utajiri wake ulikuwa mkubwa.
“Kuna filamu moja inatupasa kuigiza” Bwana Donald aliwaambia waigizaji na kuendelea.
“Filamu hii itaigizwa barani Afrika hasa katika nchi moja iitwayo Tanzania. Sehemu ambayo tutakwenda kuigiza baadhi ya vipande vya filamu hii ni Zanzibar kwa sababu kuna hoteli nzuri na mandhari mazuri pia. Miswada imeshaandikwa, wasanii jiandaeni, kama kawaida, Katie utakuwa muigizaji mkuu. Miswada ni rahisi kuishika. Tutasafiri wiki ijayo kuelekea huko. Jiandaeni vilivyo” Bwana Donald aliwaambia hali ambayo iliwafanya waigizaji kuwa na furaha.



Safari yetu ndefu imekwishaanza.
Unajua ni nini kitaendelea nchini Tanzania?
Je watafanikiwa kuiigiza filamu hiyo ya ngono?
Je nini kitaendelea katika maisha ya Katie?
Itaendelea kesho.

MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI.

MAHALI: DAR ES SALAAM

1 comment: