hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, June 22, 2014

Kilimanjaro Music Tour Ilivyobamba Iringa

Mkoa wa Iringa ulipata nafasi ya kuifunga awamu ya kwanza ya Kilimanjaro Music Tour 2014 kwa show baab kubwa iliyofanyika uwanja wa Samora. Kama ilivyotarajiwa wakazi wa Iringa walijitokeza kwa maelfu kuwashuhudia wakali wa Muziki nchini wakati wakilishambulia jukwaa na kutoa burudani kali iliyokonga nyoyo zao. Hizi ni baadhi ya taswira toka katika show hiyo.1
1,2. Dullah na Sam Misago wakifanya amsha amsha kwa kuwazadia mashabiki zawadi mbalimbali toka Kili.
1,2. Dullah na Sam Misago wakifanya amsha amsha kwa kuwazadia mashabiki zawadi mbalimbali toka Kili.
3
Snura ndiye aliifungua Kili Music Tour kwa kuonyesha umahiri wake wa kulishambulia jukwaa
Snura ndiye aliifungua Kili Music Tour kwa kuonyesha umahiri wake wa kulishambulia jukwaa
Backstage: Rich Mavoko na Izzo Bizness
Backstage: Rich Mavoko na Izzo Bizness
7
Mwasiti jukwaani huku akimpandisha na shabiki mmoja
Mwasiti jukwaani huku akimpandisha na shabiki mmoja
Linex katika backstage
Linex katika backstage
Rich Mavoko akijiandaa kupanda jukwaani
Rich Mavoko akijiandaa kupanda jukwaani
Zamu ya Sunday mjeda "Linex"
Zamu ya Sunday mjeda “Linex”
11
Rich Mavoko na madansa wake wakilishambulia jukwaa
Rich Mavoko na madansa wake wakilishambulia jukwaa
Joh Makini, Nikki wa Pili na GNako kwa pamoja wakiwakilisha Weusi
Joh Makini, Nikki wa Pili na GNako kwa pamoja wakiwakilisha Weusi
Backstage: Profesa Jay
Backstage: Profesa Jay
Izzo Bizness akionyesha tshirt ya Tumoghele kabla ya kuigawa kwa mashabiki
Izzo Bizness akionyesha tshirt ya Tumoghele kabla ya kuigawa kwa mashabiki
IMG_0513
Profesa Jay na mdogo wake wakifanya yao stejini
Profesa Jay na mdogo wake wakifanya yao stejini
Shabiki akionyesha anavyomkumbuka marehemu Albert Mangwair
Shabiki akionyesha anavyomkumbuka marehemu Albert Mangwair
Mwana FA na GNako wakiimba mfalme
Mwana FA na GNako wakiimba mfalme
Massawe na Kimario kama wanavyojulikana wakiwa jukwaani
Massawe na Kimario kama wanavyojulikana wakiwa jukwaani
Asante kwa mashabiki
Asante kwa mashabiki
Surprise ya siku ilikuwa ni kupanda Juma Nature
Surprise ya siku ilikuwa ni kupanda Juma Nature
Juma Nature akiifunga show
Juma Nature akiifunga show
Uwanja wa Samora ulikuwa hautoshi

No comments:

Post a Comment