hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, June 21, 2014

BREAKING NEWS; AJALI MBAYA YATOKEA LUGALO 19 WAFA HAPO HAPO

 Ajali hii mbaya imetokea majira ya saa 11 jioni maeneo ya lugalo ni baada ya dereva wa basi kutaka kuovertake na kukutana na lori uso kwa uso dereva akajaribu kukwepa lori hilo matokeo yake, dereva ikamshinda gari na kuliingia lori upande mmoja na kusababisha vifo vya watu 19 mpaka sasa na majeruhi..












No comments:

Post a Comment