hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, March 29, 2014

YALIOJILI KWENYE BANKERZ NITE NEW MAISHA CLUB DAR NI SHIDA...

 New maisha club dar imeanzisha utaratibu wa kukutanisha wafanyakazi wa bank mbalimbali hapa nchini tanzania kupitia club zake zote zilizopo tanzania, Dodoma,Mtwara, Mbeya, Moro Na Dar Mara moja kwa mwezi tunakutana kupeana burudani kufurahi na kujumuika kwa pamoja na wenzao kutoka bank mbalimbali hapa nchini kwa mfano leo new maisha club imetoa mualiko katika banki zifuatazo kama:- BANC ABC,CRDB,BANK M,BARCAYS BANK,STANDARD CHARTERED BANK,STANBIC BANK,NBC BANK,NMB BANK,DCB BANK, DCB BANK, DTB BANK,ACCESS BANK,T.I.B BANK, na F.N.B BANK.....  na zingine nyingi kila ijumaa ya mwisho wa mwezi tunakutana New maisha club.asante sana now lets party together kama kawaz....







 Ali kiuno moja kati ya wapenzi wa new maisha club never miss huyu mtu hata iwe jumatatu atakuwepo
 zungu mnyama the drumer na dvj majey


 xtreme deejayz wakijiandaa kwenda kufanya yao in tha club usiku wa leo new maisha club dar
 Gilla the boss na kibegi chake ametupia kiofisi lakini bado kihihop safi tisher sana mnyama mkali

 Emmanuelmapene nae alikuwepo 
 Tonny mnyama na marafiki zake walitokelezea
 kwa dj hali hiko hivi mida ya mapema kidogo wakati band ya xtreme deejayz ikifanya yake usiku wa leo
 Club ilibadilika kabisa sio kama kawaida imepabwa sana tayari kwa ajili ya wafanya kazi wa bank mbalimbali hapa nchini...
 Moja kati ya macashier wakongwe kabisa hapa new maisha club Vensuela akiwa katika pozi kusubiri wateja waje awalipishe.
 Kutoka kushoto ni Ney crayze na Jack montana wakiwa katika pozi
 Ni wale wale hapa wakionyesha bunyero bunyero zao..
 Totoz mbalimbali zilijitokeza 



 Duwe santana,gilla the boss na manolis wakijiaanda kwenda kula bata zao


 Jembee
















 Tupinge ngoma gani ihili tuwachizishe hawa watu wa bank?
 Sikia mkuu hawa watu wa bank wapigie bolingo boss cloude alisema tuwapeleke huko tuone itakuwaje
 Dvj majey,hyperman hk na zungu mnyama the drumer.... ni shida sana

 dvj majey
 hyperman hk
 zungu mnyama
 znungu mnyama na hyperman hk




 hk na ommy crayze
Hyperman hk manager of entertaiment akiwa katika pozi

No comments:

Post a Comment