hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, March 30, 2014

TEAM SNURA MAJANGA NA TEAM Y TONY MASEBENE WAHARIBU MBAYA CLUB KAKALA KIGAMBONI

 Watoto wa baba mmoja mama mmoja a.k.a wasanii wa hyperman hk SNURA MAJANGA na Y TONY MSEBENE usiku wa jana wamepiga bonge moja la show pale club kakala kigamboni, kila ambae alipata nasafi yakuhudhulia show hiyo alikubali makamuzi makali ya wasanii hao wa super manager hk ambao wote wameingia katika kinyanganyiro cha kili music awards kwenye category moja ya msaniii chipukizi...kwenye tuzo za kili tanzania...
 Y tony anaetamba na kibao chake cha masebene na pendo.
 y tony
 Snura mwanadada anaesumbua na ngoma yake ya ushaharibu na nimevurugwa... ndio habari ya mjini
 Y tony akiwa na madancer wake
 Mc mbuzi
 Dancer wa team majanga tushaharibu pacha faidha
 y tonny akiwa na madancer wake wa team masebene 
 Ni miuno mwanzo mwisho
 masenebe mwanzo mwisho

 ilikuwa noma sana




Tisher sana watoto wa hemed kavu a.k.a hk wako vizuri sana katika hii game ya bongo fleva tanzania.

No comments:

Post a Comment