hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, March 28, 2014

NIMEMKUBALI BURE HUYU DOGO ANAKUJA VIZURI ANGALIA VIDEO YAKE HAPA

 MO - MUSIC - BASI NENDA....... Ni moja kati ya vijana ambao nimewapa saluti mwaka huu, anakuja vizuri sana akipata management nzuri nainayojitambua atafika mbali sana na amini atatashia wakongwe wengi katika game hii ya bongo fleva ana fleva yake ya peke yake nzuri na maneno mazuri yakuandika. kila la khele mdogo wangu naamini ipo siku utafika pazuri sana.... keep it up. usilewe sifa we mkali sana....nimekukubali bure kabisa ...its me hyperman hk.


No comments:

Post a Comment