hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, April 1, 2014

VANESA MDEE,ISHA MASHAUZI WATISHA KWENYE KARIOKE YA KILI MUSIC AWADS

 Vanesa mdee a.k.a V Money na isha mashauzi watisha mbaya kwenye karioke iliyofanyika katika hotel ya double tree maalum kabisa kwa ajili ya washiriki wa kugombea tuzo za kili tanzania..Ambapo kulikuwa na semina maalum kabisa kwa ajili ya nominies wa KTMA..wengine waliofanya poa kwenye kuimba nyimbo mbalimbali ni pamoja na Jose mara,Menina,LINA, N;K , Baadhi ya wakongwe wa muziki tanzania waliokuwepo katika hotel hiyo walisisika wakisema huyu binti vanessa ni noma sana anaimba sana tena anastahili kuwa mwanamuziki bora wa kike tanzania kwa alichokifanya leo hapa..pia ni mtumbuizaji mzuri kwa mana anaimba na kucheza... big up V money..keep it up.
 HYPERMAN HK






 SNURA

 SNURA na meneja wake hkkatika pozi
 Snura akiomba hela kwa meneja wake hk hili akamtunze Isha mashauzi....

 Isha akitunzwa na snura baada yakufanya vizuri 
 isha akiimba wimbo wa kidumu 
 isha mashauzi akitunzwa na mkubwa fela


 NYOSHI NA MZEE KALALA
 Menina la diva nae alifanya yake
 Menina
 Kitokololo na chalz baba... nao walihidhulia...
 Isha na snura nao... walikuwepo

 V money akifanya yake kwa hisia kali sana mpaka kuwainua mashabiki mbali mbali waliokuwepo kwenye hotel ya double tree.

 Shangwe hizi zilikuwa zinapigwa kutokana na vanesa mdee vile jinsi alikuwa anaimba,,,,kwa hisia kali


 Hyperman hk,dj aron na man walter
 Ay na Snura
 Ay na y tony mzee wa masebene,....

 Snura na v money

No comments:

Post a Comment