hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, March 28, 2014

Snura, Viuno Sitaki Tena Kwenye Video, Vimeniponza.


Msanii Snura amesema amebadilisha ufanyaji wa video baada ya Video yake ya ‘Nimevurugwa’ Kufungiwa Tanzania. Alisema “Snura mpya ataonekana kwenye video ya ‘Ushaharibu’ na itapendwa sana video hio, Nimekatika kidogo ila hakuna mauno kama kwenye Nimevurugwa”
Snura kaomba radhi kwa shabiki atakaye miss mauno yake kwenye video zijazo na kwamba atakaye taka mauno basi kwenye show za Snura atayakuta mauno kibao.
Hivi uta enjoy Video ya Snura Bila Mauno Yake ?

No comments:

Post a Comment