hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, October 31, 2013

MWALIMU WA THT ALA SHAVU LA KUCHALAZA GITAA KWENYE WIMBO MPYA WA MSANII SNURA

 Moja kati ya walimu wakubwa wa kukuza vipaji mbalimbali kutoka tanzania house of talent (tht) Maalufu kama TEACHER amepata shavu kubwa la kuchalaza gitaa katika wimbo mpya wa msanii anaetamba na ngoma yake ya nimevurugwa mwiite snura mamaa majanga, akiongea na blog hii ya burudani manager wa msanii  snura amesema Ameamua kumuweka teacher katika wimbo mpya wa snura hili kuleta radha zaidi na tofauti katika nyimbo za msanii wake pia alisema wimbo huu ameufanya katika studio za CHAIDAZ REC chini ya producer mahiri ABBY DADDY, hili kupata radha tofauti na nyimbo za mwanzo za snura ,
 Meneja amezungumzia video mpya ya snura ya nimevurugwa ambayo itatoka hivi karibuni ambayo wananchi wakae mkao wakula na kupata kionjo kidogo cha wimbo mpya wa ushaharibu katika video hiyo ya nimevurugwa.


 TICHA akifanya mambo yake katika studio za CHAIDAZ REC zilizopo MIKOCHENI DSM,


No comments:

Post a Comment