hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, September 6, 2013

KUMBE ALI KIBA NI MPIGA PICHA MZURI ANGALIA HAPA! ALICHOMFANYA SNURA

 Poziiiiiii owk kaaa tayarii twendeeeeeee!!!!
 Hapa akiset mwangaa!
 akimwambia SNURA asogee yuko tayari kuanza kupiga picha!!1
 Safiii gud pozi
 Ebu ngoja niinamishe camera nione kama kuna kitu nitaona kwa ndani!!
 safi hiyo napigaaaaaa
 Bdailidha pozi snura
 Ebu smile kidogo!!!1
Mpiga picha huyu hatari kapanda mpaka juu ya kiti.
 Chek hapo alivyoinamia hili mradi hapate picha nzuri tu
 hiii vaa miwaniu tuone unafananaje
 Ngoja nikuonyeshe sasa zilivyotoka picha zako zote
 Hii ndio ile niliopiga kwa chini ila umeweka mkono sijaona kitu dah ila poa tu

Haya mr manage nimemaliza kumpiga picha msanii wako naomba changu mapemaaaa
Hk akamjibu Kwa mtonyo gani hapa utatoka kapa bro ila uko vizuri kama issa mnari nimekukubari sana.

2 comments: