hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, September 6, 2013

AZONTO ACHAFUA HALI YA HEWA JIJINI DAR, WATU ZAIDI YA ELFU THERATHINI KUMIMINIKA VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII NI JUMAMOSI HII!

M
Azonto kulia akiwa na na baunsa wake huku msanii wa Bongo Muvie Manaiki Sanga "the don" akitoa maelekezo kwa mwanamuziki huyo ndani ya Hotel ya JB BELMOND alipofikia mwanamuziki huyo


Yule bingwa wa pichaza uchi,Manaiki Sanga "The Don" ambaye yuko kwenye kamati ya ujio wa mwanamuziki Azonto akiwakaribisha wageni hao leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment