hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, June 15, 2013

YALIOJILI KWENYE SHOW YA LADY JAYDEE




ONYESHO la mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ kutimiza miaka 13 katika muziki, limefana usiku wa kuamkia leo
 katika eneo la maegesho ya magari kwenye ukumbi wa Nyumbani, Lounge, eneo la Kinondoni, Dar es Salaam kwa mamia kujitokeza kiasi cha kujaza eneo hilo, hadi kupishana ikawa taabu. Watoto wa mjini wanasema ilikuwa funika bovu- ndiyo shoo hiyo ilikuwa nzuri mno, ya kistaarabu, yenye mashamsham ya aina yake.


Jide akikumbatiana na Profesa Jay

Jay akipagawisha

Jay akisema na nyomi 

No comments:

Post a Comment