hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, June 17, 2013

LUCY KOMBA AJA NA MWISHO WA SIKU

Mwanadada lucy komba alietamba na filamu mbalimbali ikiwemo FEDHEHA,ZAIDI YA RAFIKI,TRINITA na zengine tofauti amefurahishwa sana na maoni anayoyapata kutoka kwa wadau wakubwa wa filamu nchini kuhusu ubora wa filamu mpya aliyoiandaaitwayo MWISHO WA SIKU na kuhadidi kuitafutia soko la kimataifa. lucy alieleza pia baadhi ya wadau hao ambao hakutaka kuwataja majina yao.tayari wameanza kutafuta soko la kimataifa. wengi walioiona hawakuamini kama itatoka filamu kali kama ilivyo", aliongeza ndani ya filamu hiyo LUCY ameeleza amewashirikisha waigizaji mahiri mbalimbali na wenye vipaji.

No comments:

Post a Comment