hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, May 13, 2013

TAMTHILIA YA MARA CLARA YAISHA KWA UDHUNI MKUBWAA!


 Ile tamthilia pendwa ya MARACLARA iliokuwa inakwenda hewani kupitia televion ya STAR TV imemalizika jana,kwa udhuni mkubwa na kupotea kwa kijana GERRY aliekuwa akiitesa na kuinyanyasa familia ya AMANDRE kwa kile alichokua akikifanya kwa sababu ya mapenzi ya dhati na mwanadada arvila mke wa AMANDRE
 Suzani na MARA
Gerry

No comments:

Post a Comment