hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, May 15, 2013

MCHEZA FILAMU ZA NGONO SEHEMU YA 5.




Katika kipindi cha kurudi nchini Marekani, Katie hakuonekana kuwa na furaha kabisa, muda mwingi alikuwa akimfikiria mpenzi wake, Gibson ambaye alikuwa amemuachana nchini Tanzania. Ukweli wa moyo wake, hakutaka kabisa kurudi nchini Marekani, bado alikuwa akihitaji muda wa kukaa na Gibson mpaka pale ambapo nafsi yake ingeridhika kabisa.
Alikuwa akirudi nchini Marekani kwa kulazimishwa tu kwa sababu uzinduzi wa filamu yao mpya ulikuwa ukitaka kufanyika katika hoteli ya Grand Evenue ambayo ilikuwa katika jiji la Hollywood nchini Marekani. Ndani ya ndege mawazo yake wala hayakumuisha hata kidogo, bado alikuwa akiendelea kumfikiria mpenzi wake, Gibson.
Mapenzi na Gibson yakaonekana kumteka kupita kawaida, shughuli ambayo alikuwa akiipata kitandani kipindi cha nyuma ilimfanya kumuamini Gibson kwamba angekuwa mfariji wake wa maisha katika mambo yote ya kitandani.
Ndege ilichukua zaidi ya masaa thelathini ndipo ikaanza kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa John F. Kennedy uliokuwa katika jiji la New York. Mabosi wake walikuwa katika uwanja huo wakimsubiri, pale alipowasili, safari ya kuelekea nyumbani kwake kuanza.
Kuanzia hapo maisha yake yakawa ni kuendelea kuigiza kama kawaida. Uzinduzi wa filamu yao ile ulipofanyika, kila mmoja akabaki na mshangao, ilionekana kuwa filamu nzuri ya ngono ambayo ingeuza sana duniani.
Kila mtu alikuwa akimmwagia sifa Katie kwa ushiriki wake mzuri ambao alikuwa ameigiza ndani ya filamu ile ya ngono. Kwa mashabiki wa filamu zile, aliwathibitishia kwamba alikuwa bora, na ubora wake ungeendelea zaidi ya pale.
Mwezi ukakatika, bado mawasiliano yake na Gibson yalikuwa yakiendelea kama kawaida. Walionyeshana kujaliana na kusikilizana, mapenzi moto moto ya simuni na mitandaoni ikaonekana kuwateka kupita kawaida.
Katie hakusitisha misaada yake ya kifedha kwa Gibson, mara kwa mara alikuwa akimtumia kiasi kikubwa cha fedha ambacho kilikuwa kikiyabadilisha maisha ya Gibson ambaye alikuwa akiishi na mkewe, Prisca bila Katie kufahamu kitu chochote kile.
Mara nyingi sana Katie alikuwa akipata wazo la kuja nchini Tanzania lakini mipango yake yote ilikuwa ikiingiliwa na filamu mbalimbali ambazo alikuwa akitakiwa kuigiza. Wazo moja likamjia kichwani mwake, alijiona kuwa na uhitaji wa kuwasiliana na Gibson na kumwambia kwamba alitakiwa kwenda nchini Marekani.
Wazo lake hilo wala halikupata vikwazo kichwani mwake ila alikuwa akisubiria muda maalumu wa kumwambia Gibson juu ya wazo lake ambalo aliamini kwamba lingemfurahisha kupita kawaida.
Miezi mingine sita ikakatika na kufikisha mwaka mmoja, Gibson bado alikuwa katika kichwa chake, filamu, kwake hazikuonekana kuwa na faida yoyote ile, alijiona kuwa na uhitaji wa kumuona mpenzi wake huyo ambaye hadi katika kipindi hicho alikuwa amemkumbuka kupita kawaida.
Akaona lingekuwa jambo zuri sana kama angeandaa saplaizi fulani kwa ajili ya mpenzi wake huyo. Kila aina ya saplaizi ambayo alikuwa akiiona kufaa kichwani mwake alikuwa akiingana nayo, mwisho wa siku akafikiria kuhusu kufunga ndoa na Gibson.
Kwake, wazo hilo la saplaizi yake likaonekana kupitishwa kwa nguvu zote kichwani mwake. Akamtaarifu Gibson juuya saplaizi ambayo alikuwa amemwandalia bila kumwambia ni aina gani ya saplaizi hiyo.
Alichokifanya ni kuanza kuwasiliana na marafiki zake kuhusu harusi yake ambayo angefunga muda wa siku chache zijazo. Kila mtu akaonekana kushtuka, hawakuamini kama kungekuwa na mwanaume ambaye angediriki kumuoa Katie na kumruhusu kuendelea na kazi yake ya kuigiza filamu za ngono.
Kila mtu akataka kumfahamu mwanaume huyo ambaye alikuwa akitaka kufunga ndoa na Katie. Magazeti mbalimbali nchini Marekani yakaanza kuchapisha taarifa ile jambo ambalo lilimfanya kila mtu kuwa na hamu ya kuiona harusi hiyo ikifanyika.
“Am getting married soon (Ninaolewa hivi karibuni)” Katie aliwaambia marafiki zake huku akionekana kuwa na furaha.
“Who is going to marry you? (Nani anakwenda kukuoa?)”
“Gibson”
“Who is he? (Ndiye nani?)
“The man I met in Africa. Dont you remember him? (Mwanaume niliyekutana nae Afrika. Hamumkumbuki?)” Katie aliwauliza.
“A driver? (Dereva?)
“Yeah! He is the one (Yeah! Ndiye yeye)” Katie alijibu huku akionekana kuwa na furaha.
Mipango ya harusi bado ilikuwa ikifanyika, tarehe ya kufunga ndoa ikatangazwa, kila mtu akatamani japo kumuona mwanaume huyo ambaye alikuwa amejitoa mhanga kwa ajili ya kumuoa Katie. 
Marafiki zake wakaweka oda za zawadi mbalimbali kutoka kwenye maduka tofauti tofauti kwa ajili ya Katie. Katie hakutaka kutulia, kila siku alikuwa mtu wa kumwambia kila rafiki yake juu ya harusi ambayo alikuwa akitaka kufunga.
Alikuwa na hamu ya kumwambia Gibson juu ya ile saplaizi ambayo alikuwa amemuandalia lakini akaona isingekuwa jambo zuri kama angemwambia. Katie alikuwa akichukulia kila kitu kuwa kawaida, alikuwa akimpenda sana Gibson, hakuwa tayari kumuona akiondoka mikononi mwake.
Hakupewa taarifa na Gibson kama alikuwa ameoa. Alimchukulia kuwa mvulana wa kawaida ambaye alikuwa akiishi maisha ya peke yake. Kwa wakati huo alijiona kuwa na uhitaji wa kuwa na mume, nae aitwe mke wa fulani jambo ambalo lingemfanya kufurahi kupita kawaida.
Wazo la kuacha kuigiza filamu za ngono bado hakuwa ameamua kama angeacha au la, ila kitu ambacho alikiona ni kuongea na mume wake huyo na kupata uamuzi kama alitakiwa kuachana nalo au aendelee nalo.
Siku ambayo Gibson aliingia nchini Marekani, Katie alikwenda kumpokea uwanja wa ndege. Ile kuonana tu, wote wakaanza kukimbiliana na kukumbatiana. Wote wakaonekana kuwa na furaha, watu ambao walikuwa akimfahamu Katie, wakaanza kumpiga picha kwani kitendo cha kumuona mtu mashuhuri kama yeye lilikuwa jambo adimu sana nchini Marekani.
“I missed you (Nilikukumbumba)
“I missed you too. You look very cute (Nilikukumbuka pia. Unaonekana kuwa mzuri)” Gibson alimwambia Katie na kisha kumkumbatia tena.
Wakalifuata gari ambalo alikuja nalo Katie na kisha kuondoka nalo mahali hapo. Kila mmoja kwa wakati huo alikuwa na furaha kupita kawaida, kipindi cha mwaka mmoja ambacho walikuwa wamekaa bila kuonana kilionekana kuwa kipindi kirefu sana.
Walipofika nyumbani, kitu cha kwanza kilikuwa ni kuingia bafuni, wakachezeana mpaka wakachoka, wakafanya mapenzi mpaka kulala juu ya makochi huku kila mmoja akiwa kama alivyozaliwa.
“It’s suprise moment now (Sasa ni muda wa saplaizi)” Gibson alimwambia Katie mara baada ya kutoka bafuni kuoga.
“Dont worry. Let’s eat (Usijali. Tule kwanza)” Katie alimwambia Gibson.
Japokuwa walikuwa wakila lakini bado Gibson alikuwa na kimuemue cha kutaka kufahamu ni aina gani ya saplaizi ambayo alikuwa ameandaliwa. Muda wote alikuwa mtu wa kujichekesha tu lakini akilini mwake alikuwa akijaribu kuweka kila aina ya saplaizi ambayo alikuwa akiidhania.
“Au anataka kunipa kampuni? Mmmh! Sasa ni aina gani ya saplaizi hiyo?” Gibson alijiuliza lakini hakupata jibu lolote.
Walitumia mida wa dakika thelathini mpaka kumaliza kula ambapo hapo wakapelekan mpaka kitandani. Yaani, kwa ujumla siku hiyo ilikuwa ni siku ya kufanya mapenzi tu. Miili yao ilikuwa imekumbukana kupita kawaida, hawakufikiria kitu chochote zaidi ya kufikiria ngono tu.

Katika kila hatua ambayo ilikuwa ikiendelea mahali hapo, Gibson hakuweza kukumbuka kwamba alikuwa amemuacha mke nchini Tanzania ambaye alikuwa amemzalia mtoto mmoja, kwa wakati huo mawazo yake yalikuwa yakifikiri ngono na saplaizi tu.
Walichukua masaa mawili, wakawa hoi tena. Miili yao ikachoka kupita kawaida, hawakupata hata nguvu ya kunyanyuka, wakajikuta wakilala mpaka waliposhtuka saa moja na nusu usiku.
“Give me some more (Nipe nyingine zaidi)” Katie alimwambia Gibson huku akianza kumshika shika kifuani.
Gibson hakuwa na jinsi, akili yake ilikuwa ikifikiria mambo mengi kwa wakati huo. Utajiri na fedha nyingi kutoka kwa Katie ndicho kilikuwa kitu ambacho alikuwa akikihitaji kwa namna yoyote ile. Alifanya nae mapenzi mpaka pale ambapo hamu yote ilionekana kuisha mwilini mwa Katie.
“Nataka tufunge ndoa. Utakuwa tayari?” Katie alimuuliza Gibson.
“Kufunga ndoa! Nipo tayari. Hata sasa hivi” Gibson alimjibu Katie kiutani.
Katie akatabasamu. Kichwa cha Gibson kilikuwa kikifikiria kwamba mpaka wafunge ndoa basi ingewachukua hata miezi sita, hakujua kama jibu lile alilolitoa kiutani lilionekana kumfurahisha sana Katie.
Katie akasimama, akaanza kufurahia kupita kawaida. Gibson akainuka na kuanza kufurahi pamoja nae. Katie akaona huyo haitoshi, akanyanyua simu yake na kuwaataarifu marafiki zake kwamba kulikuwa na uhakika wa kufunga harusi siku mbili zijazo kama alivyowaambia.
“Marafiki zangu wamefurahi sana. Wameahidi kuhudhuria harusi yetu kesho kutwa” Katie alimwambia Gibson huku akionekana kuwa na furaha. 
Siku ambayo alikuwa ameitaja Katie ikaonekana kumshtua Gibson, hakuamini kama Katie alikuwa amemaanisha kwa asilimia mia moja kile alichokuwa amekisema na wala hakuwa na utani wowote ule moyoni mwake.
“Umesema lini?” Gibson aliuliza huku akionekana kushtuka.
“Kesho kutwa. Hii ndio saplaizi ambayo nilikuwa nimeandaa kwa ajili yako. Tufunge ndoa na kuwa mume na mke” Katie alimwambia Gibson ambaye akaonekana kuchoka.
Hapo ndipo picha ya Prisca ilipoanza kujengeka kichwani mwake, hakuishia kumfikiria Prisca bali akaanza kumfikiria na mtoto wake, Genuine. Kwa kiasi fulani Gibson akaonekana kukosa amani, akakaa kochini.
“Mbona umebadilika ghafla?”
“Hapana. Umenishtukiza sana” Gibson alijibu.
“Kweli?”
“Ndio”
“Sasa hiyo si ndio maana ya saplaizi. Yaani ushtuke kama ulivyoshtuka” Katie alimwambia Gibson ambaye mawazo yake yalikuwa nchini Tanzania tu.
“Sawa. Tutaoana kama ulivyotaka ila kwa masharti kadhaa” 
“Masharti gani?” Katie aliuliza huku akimsogelea Gibson na kumlalia kifuani.
“Sharti la kwanza.........” Gibson alisema huku Katie akiwa kimya akimsikiliza.
“Kwanza ndoa yetu nataka iwe ni ya mkataba. Hii ni kwa sababu nitataka zaidi kujilinda mpenzi” Gibson alimwambia Katie.
“Hilo si tatizo, ndoa hizo ndizo ambazo huwa tunafunga huku. Kuna kingine?” Katie alimuuliza Gibson.
“Ndio. Tena mengi tu. Vipi kuhusu watoto?”
“Si la kuongelea kwa sasa, hilo linatakiwa kuongelewa ndani ya ndoa” Katie alijibu.
“Ndani ya ndoa! Hii ni mipango ambayo yatupasa kuipanga Katie”
“Nafahamu. Ila unaonaje kama mpango huo tukiupangia ndani ya ndoa?” Katie aliuliza.
“Hakuna tatizo. Na vipi kuhusiana na kazi?”
“Kazi gani?”
“Unafikiri nitakuwa nikikaa tu ndani bila kufanya chochote kile? Hapana, hayo si maisha. Inanipasa niwe na kazi ya kunifanya kuwa bize” Gibson alimwambia Katie.
“Hilo si tatizo. Nitakutafutia” Katie alimwambia Gibson.
Wote wawili wakawekeana makubaliano na kufikia muafaka. Kitu ambacho alikifanya Katie kwa wakati huo ni kuwa makini sana, kila wakati alikuwa akimbana sana Gibson ili asiweze kuangalia sana televisheni wala kusoma magazeti. 
Vyombo vyote vya habari kwa wakati huo vilikuwa vikiitangaza harusi hiyo huku maneno ‘MUIGIZAJI WA FILAMU ZA NGONO’ yakiwa yametawala katika kila chombo cha habari ambacho kilikuwa kikiandika kuhusiana na harusi ile.
Katie hakutaka kabisa Gibson afahamu kile ambacho kilikuwa kinaendelea katika maisha yake, hakutaka kabisa ajulikane kwamba alikuwa muigizaji wa filamu za ngono ambaye alikuwa akivuma sana.
Alitaka kwanza afunge nae ndoa na hatimae aje kufahamu baadae sana kwamba alikuwa akijihusisha na filamu zile ambazo kadri siku zilivyokuwa zikizidi kusogea mbele na ndivyo ambavyo zilizidi kupata mashabiki zaidi.
Gibson akawa akishinda ndani, alikuwa akiisubiria siku hiyo huku aone ni kitu gani ambacho kingeendelea. Mawazo yake kwa wakati huo hayakuacha kuifikiria familia yake ambayo ilionekana kuwa muhimu sana katika maisha yake.
Kwa kitendo chake cha kwenda kufunga ndoa na Katie kilionekana kuwa kama usaliti mkubwa katika ndoa yake na Prisca. Gibson hakuwa akifahamu kitu chochote kile kuhusiana na maisha halisi ya Katie, kwake alionekana kuwa msichana tajiri sana lakini wala hakuwa akijua siri ya utajiri wake ule.
Gibson akaanza kuufikiria utajiri ule, kichwa chake wala hakikuweza kutulia, kwa sababu alikuwa mchaga, ubongo wake ulikuwa umetulia kwa kufikiria fedha tu. Siku ya kwanza ikakatika na ya pili kuingia. Marafiki mbalimbali wa Katie walikuwa wakifika nyumbani pale na kisha kuongea na shemeji yao mtarajiwa, kila mmoja alionekana kuwa na furaha.
Watu ambao hawakuwa karibu na Katie hawakuweza kumfahamu Gibson kabisa kwani hata waandishi wa habari hawakuwahi kumuona mwanaume huyo ambaye kwao alionekana kuwa na moyo wa kujitolea kufunga ndoa na msichana ambaye alikuwa maarufu kwa kuigiza filamu za ngono.
Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa ikawadia, Gibson akawa ndani ya suti kali katika sehemu ambayo walitakiwa kufunga ndoa na Katie. Mahali hapo wala hakukuwa na idadi kubwa ya watu, ni watu hamsini tu ndio ambao walikuwa wamekusanyika katika harusi hiyo ambayo ilimgharimu Katie kiasi cha dola laki moja, zaidi ya shilingi milioni mia mbili za Tanzania.
Ndoa ya mkataba wa kudumu wa miaka mitano ikafungwa na mkataba huo kusainiwa mbele ya watu hao ambao walikuwa wamekusanyika ndani ya uwanja huo mdogo wa nyumba ya Katie iliyokuwa hapo New York katika mtaa wa kitajiri wa Buttlefly 56th.
Harusi ikafungwa na hatimae Gibson na Katie kuwa mume na mke. Kwa Katie ilionekana kuwa furaha kubwa lakini kwa Gibson ikaonekana kuwa kama tatizo kubwa katika maisha yake. Hakujua ni kitu gani ambacho kingetokea pale ambapo mke wake wa Tanzania, Prisca angesikia kwamba alikuwa amefunga ndoa na mwanamke wa kizungu nchini Tanzania na kumsaliti.
Wanandoa wakaondoka kuelekea katika kisiwa cha Bahamas kwa ajili ya kula raha tu. Walikaa huko kwa takribani mwezi mzima, wakarudi tena jijini New York kwa ajili ya kuendelea na maisha yao kama kawaida.
Waandishi wa habari wakazipata picha za Gibson na kuanza kuzitoa katika vyombo mbalimbali vya habari, hapo ndipo watu walipogundua kwamba mume wa Katie alikuwa mtu mweusi tena aliyesadikiwa kutoka barani Afrika.
Kila mtu ambaye aliziona taarifa za harusi ile akaonekana kushangaa, hawakuamini kama kungekuwa na mtu mwenye ngozi nyeusi ambaye angekubali kuwa na mwanamke ambaye alikuwa akiigiza filamu za ngono.
Kuigiza filamu za ngono kilikuwa ni kitendo ambacho kilikuwa kikiendelea kuwa siri kubwa katika maisha ya Katie, hakutaka mumewe ajue kile ambacho kilikuwa kikiendelea. Hakujua ni nani ambaye alimfuata Gibson na kumueleza kile ambacho alikuwa akiendelea kukifanya, kilichomshtua zaidi ni pale aliporudi nyumbani na kumkuta Gibson akiwa katika muonekano wa tofauti.
“Why didn’t you tell me before? (Kwa nini hakuniambia kabla?)” Gibson aliuliza huku akionekana kukasirika.
“Tell you what? (Kukwambia nini?)” Katie aliuliza huku akijifanya kushangaa.
“That you are a porn movie star (Kwamba wewe ni muigizaji wa filamu za ngono)” Gibson alimwambia Katie.
“Who told you that? (Nani alikwambia hayo?)”
“Just wait for me right here (Nisubiri hapa)” Gibson alisema na hapo hapo kuanza kupandisha katika ghorofa ya juu kulipokuwa na chumba chao.
Katie alibaki akizunguka zunguka pale sebuleni alipokuwa amesimama. Kichwa chake kilikuwa kikimfikiria mtu ambaye alikuwa amemwambia Gibson kile ambacho kilikuwa kinaendelea katika maisha yake, kwa wakati huo, akaonekana kuwa na wasiwasi, hakujua Gibson angeamua uamuzi gani.
Gibson akarudi mahali hapo huku mkononi akiwa na gazeti la New York Times ambalo lilikuwa likitoka mara tatu kwa wiki nchini humo. Akalitupa gazeti juu ya meza, picha ya Katie pamoja na picha yake zilikuwa zikionekana kabisa mbele ya gazeti lile.
“Tell me about this (Niambie kuhusu hii)” Gibson alimwambia Katie.
Katie akalichukua lile gazeti na kuanza kuliangalia vizuri. Mapigo yake ya moyo yakaanza kumdunda, hakujua ni maneno gani ambayo alitakiwa kumueleza mume wake huyo ili kuiokoa ndoa yake ambayo ilikuwa imedumu kwa miezi miwili mpaka muda huo.
“Tell me about this (Niambie kuhusu hiki)” Gibson alimwambia Katie, kwa wakati huu, aliongea kwa sauti ya juu iliyoonyesha ukali.
“It is true (Ni kweli)
“Good (Vizuri)” Gibson alisema na kuanza kupanda juu ghorofani.
“Please Baby...Let me explain (Tafadhali mpenzi...acha nifafanue)” Katie alimwambia Gibson huku akiwa amemshika suruali pale kwenye ngazi za kupandia juu.
“What do you want to explain to me? Do you want to tell me that you have been fucked with all men around this fucking City? Do you want to tell me that you are a Porn movie star who cheats to her husband and speaks rubish on his back? What do you want to tell me? (Unataka kunifafanulia nini? Unataka kuniambia kwamba umefanya mapenzi na wanaume wote ndani ya jiji hili? Unataka kuniambia kwamba wewe ni mcheza filamu za ngono ambaye anadanganya mume wake na kuongea uchafu nyuma yake? Unataka kuniambia nini?)” Gibson aliuliza huku akionekana kukasirika kupita kawaida.
Kutokana na hasira ambazo alikuwa nazo katika kipindi hicho, mishipa yake yote ya mwili ilikuwa imemtoka, alikuwa akitetemeka kwa hasira huku meno yake yakigonganagongana tu. Hakuwa akiamini kwa wakati huo kwamba msichana ambaye alikuwa amefunga nae ndoa alikuwa ni mcheza filamu za ngono ambaye alikuwa akivuma sana kwa kipindi hicho.
“I am not a Porn movie star (Mimi sio muigizaji wa filamu za ngono)” Katie alisema huku akilia.
“Then, who the hell are you? (Kwa hiyo wewe nani?)”
“Gibson’s wife (Mke wa Gibson)” Katie alisema kwa sauti ya chini.
“Thats fucking rubbish (Huo ni uchafu)” Gibson alisema na kisha kuendelea kupanda ngazi.
Breki ya kwanza ilikuwa ni kitandani, akajilaza, mwili ulikuwa ukimtetemeka kupita kawaida. Moyo wake ulikuwa ukijuta sababu zilizompelekea kwenda nchini Marekani na kukubali kumuoa Katie. Hapo ndipo alipopata majibu juu ya mambo ambayo alikuwa akifanyiwa na Katie kama kunyimwa uhuru wa kuangalia televisheni na hata kusoma magazeti.
Katie akaingia chumbani hapo na moja kwa moja kuanza kumfuata Gibson kitandani pale alipolala na kumlalia mgongoni. Katie alikuwa akilia kwa kwikwi, alionekana kuwa na sura ambayo ilikubali kwamba alikuwa amekosa ila kwa wakati huo alikuwa akihitaji msamaha.
“I was a porn movie star but I am not a porn movie star (Nilikuwa muigizaji wa filamu za ngono lakini kwa sasa mimi sio muigizaji wa filamu za ngono)” Katie alimwambia Gibson.
Gibson hakuongea kitu chochote japokuwa kwa hali fulani maneno yale aliyoongea Katie yakaonekana kuanza kumuingia. Katie akaanza kumpapasapapasa Gibson mgongoni hali ambayo ikaanza kumuweka Gibson katika hali mbaya.
Katie hakutaka kutulia, aliendelea zaidi na zaidi, ndani ya dakika tano, Gibson alikuwa radhi kwa kila kitu. Hasira zote ambazo alikuwa nazo juu ya Katie zilikuwa zimemtoka na tamaa ya kufanya mapenzi ikiwa imeanza kumuingia.
“I need you (Ninakuhitaji)” Katie alimwambia Gibson na kisha kukipeleka kinywa chake kinywani mwa Gibson, kilichofuata hapo ni kubadilishana mate na kisha kuanza kufanya tendo la ndoa.

Je nini kitaendelea? 
Je mapenzi ya Gibson kwa Katie yatadumu?
Je Prisca ataweza kufahamu kinachoendelea nchini Marekani?

No comments:

Post a Comment