hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, May 28, 2013

ANGALIA UNYAMA WA WACHEZA SHOW WA SNURA KATIKA PICHA

Hili kujua zaidi balaa la hawa watoto USIKOSE jumapili hiii new maisha club kwenye uzinduzi wa VIDEO YA MAJANGA,SNURA atawasha moto wa VIUNO SHOW huku akisindikizwa na MADEE,ALI NIPISHE,SAMIR,TIMBULO,BAUCHA,MIRROR,NUH MZIWANDA,NA wwengine kibao.kiingilio buku 10 tu usikose.
























Hapana chezea snura na style yake ya viuno show ni moto wa kuotea mbali sana

No comments:

Post a Comment