hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, April 23, 2016

CHURA DANCE VIDEO kuzinduliwa Jumapili hii ndani ya MAISHA BASEMENT


IMG-20160405-WA0103
Mwanadada alietamba na ngoma ya Majanga, Ushaharibu, Nimevurugwa, Hawashi, Najidabua na mpaka sasa anatikisa na kibao chake kipya kabisa cha CHURA kilichofanywa katika studio za Chaidaz Rec. Jumapili hii anaachia video ya ngona yake hiyo mpya ya Chura… chini ya director Pabro. Video hiyo imefanywa katika maeneo ya baharini Kigamboni… video itazinduliwa Maisha Basement iliyopo Makumbusho Dar es salaaam Jumapili hii ya tar 24/04/2016. Siku Chura ambao watu walikuwa wanawaona kwenye social network wote watakuwepo… chura atakaekuna nazi,atakae fua,chura atapika matukio yote yatafanyika kwenye stage Jumapili hii…

IMG-20160315-WA0163 IMG-20160315-WA0162 IMG-20160309-WA0086 _DSC8343


No comments:

Post a Comment