hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, August 5, 2015

WASANII MANAIKI SANGA NA STAA WA GOING BONGO WAISHIKA PABAYA BONGO MOVIE, MSANII JB AMPONGEZA MANAIKI SANGA KWA KUANDAA FILAMU BORA 2015/16


 WASANII: Manaiki Sanga kulia akiwa na Ernest Napoleon  ambapo wasanii hao kwa pamoja sasa wameungana kuhakikisha wanaipeleka sanaa ya filamu ya Tanzania Kimataifa, ambapo Ernest Napoleon kwa sasa yupo nchini Kenya kwa ajiri ya maandalizi ya uzinduzi wa filamu yake ya Going Bongo hivi karibuni filamu ya Manaiki Sanga aliyowashirikisha wasanii mastaa zaidi ya 30 pamoja na sasa tarehe ya kutoka filamu hiyo ya Wake Up imetajwa mbapo ni tarehe 30 mwezi huu.


Hii ndiyo listi ya wasanii walioshiriki  kwenye filamu ya Wake Up .

No comments:

Post a Comment