hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, August 8, 2015

BALAA KUBWA: MTOTO WA WAZIRI AMTEKA STAA WA FILAMU YA GOING BONGO, NUSRA DAMU IMWAGIKE ANGALIA TUKIO HILO HAPA..!



 STAA WA FILAMU YA GOING BONGOTOKA NCHINI MAREKANI Ernest Napoleon KUSHOTO AKIWA NA MSANII MANAIKI SANGA STAA WA FILAMU YA WAKE UP.
 MTOTO WA WAZIRI MMOJA AMBAE MWISHONI MWA WIKI ILIYOPITA ALIMFANYIA UMAFIA MKUBWA STAA WA FILAMU GOING BONGO Ernest Napoleon ALIYEKUWEPO NCHINI KENYA KWA AJILI YA INTERVIEW MBALIMBALI MKWENYE VITUO VYA MEDIA.

FILAMU YA WAKE UP AMBAYO KWA SASA IMEKUWA TISHIO NCHI NZIMA HUKU MAELFU YA WATAZANIA WAKISUBRI KWA HAMU KUTOKANA NA WINGI WA MASTAA WA BONGO MOVIE WALIOSHIRIKI NA TAREHE 31 MWEZI HUU ITAKUWA MTAANI.
Ernest Napoleon akiigiza filamu hiyo, ambapo wiki iliyopita ustaa ulimtokea puani baada ya kuvamiwa na mrembo aliyeiitwa Rachol ambae inadaiwa ni mtoto wa Waziri mmoja nchini Kenya na kumtaka penzi kwa nguvu baada ya kuiona filamu hiyo kwenye mtandao na jinsi msanii huyo alivyoonesha mahaba mazito kwa mwanamke wa kizungu. Tukio hilo lilitoke kwenye viunga vya mitaa ya Nairobi wakati msanii huyo akitoka kwenye kituo cha Runinga cha Citizen Tv , hata hivyo walioshuhudia tukio hilo walisema baada ya msichana huyo kumzuia kwa mbele msanii huyo kisha alishuka na kwenda kumkumbatia kwa mahaba mazito kisha kumueleza nia yake ya kufanya hivyo ilikuwa ni furaha na wala hakutegemea kama angekutana nae hivyo anamuomba msanii huyo asimuelewe vibaya. Tukio ilikuwa chupu chupu kumwaga damu kufuatia gari aliyokuwa naiendesha mwanamke huyo kuwa kasi hali iliyoonesha alikuwa amemfukuzia toka mbali.
STAA WA FILAMU YA GOING BONGOTOKA NCHINI MAREKANI Ernest Napoleon KUSHOTO AKIWA NA MSANII MANAIKI SANGA STAA WA FILAMU YA WAKE UP. Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:

Post a Comment