hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, November 14, 2014

THE BIGGEST SUPPRISE BIRTHDAY PARTY NA UTAMBULISHO WA PAM DAFFA AT NEW MAISHA CLUB DAR ES SALAAM TAREHE 09/11/2014.

Hyperman Hk akiwa na Redds Miss Tanzania Talent wakifanya kazi katika jukwaa la New Maisha Club Dar walifanya pouwa sana katika usiku wa kuzaliwa Gilla ze Boss na PAM daffa kuzaliwa katika game ya Bongo Flavour.
Redds Tanzania Miss Talent 2014 anaitwa NICOLE SARAKIYA




Nai Nai mrembo huyu ndio video Queen katika video ya kwanza ya Ommy Dimpoz iliyomtoa katika game ya Bongo flavour alitisha sana katika The Biggest supprise Birthday Party New Maisha Club Dar jumapili tarehe 09/11/2014.
            Zola DEE  a.k.a Unde ngumi mia kila sekunde alikuwepo pia




Country Boy alipiga show yakinyama sana usiku huo pia alitangaza kuwa jumapili ya wiki hii anazaliwa New Maisha Club Dar atakuwa na wasanii kibao wakimsupport bila kumsahau Kajala ndio atakayehost huo usiku wakuzaliwa Country boy.



Yakuzamob4ever wakifanya kazi nyingine katika jukwaa hahahahaaa waliamsha sana katika usiku wa Pam Daffa ilikuwa noumaa sana watu walishangaa kuona mapacha hawa wanafanya music na kufanaya pouwa sana hii siku ilikuwa ni New Maisha Club Dar es salaam jumapili tar 09/11/2014.

PAM DAFFA ni msanii aliyezaliwa katika game ya Bongo flavour alifanya pouwa sana akiwa na kaka yake Mesen Selekta, Pam Daffa alikinukisha sana mashabiki wake walipenda sana walichokifanya katika jukwaa la New Maisha CLub Dar na ilikuwa ni siku ambayo Gilla ze Boss anazaliwa ilikuwa pouwa sana.
                Mesen Selekta akiwa na DaDa yake Pam Dee katika performance.






                               Keki ya Gilla ze Boss na Pam Daffa at Club Maisha Dar-es-salaam.
                      Dj Spar akimuogesha Gilla Ze Boss siku yakuzaliwa kwake safi sana.
                            Gilla ze Boss siku ya kuzaliwa kwake New Maisha Club Dar es salaam.






Dvj Ommy Crayze , Mesen Selekta, Pam Daffa na Gilla Ze Boss katika siku yakuzaliwa New Maisha Dar es salaam show ilikuwa kali na watu walikuwa wengi ilikuwa hatari sana.

                                  Dvj Ommy Crayze na Gilla Ze Boss katika mpango mzima wakula keki.

No comments:

Post a Comment