hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, October 1, 2014

WAHESHIMWA WABUNGE KUSHINDANA KUCHEZA VIUNO VYA NGORORO 11,10, 2014 NDANI YA MATEI LOUNGE, DIAMOND KUWA JAJI..!

Unaambiwa wafanyakazi wa maofisini pamoja na madent wa vyuo mbali mbali vya dodoma waanza kujichanga kwa ajili ya ujio wa Diamond .... Unaambiwa pia zile Baby baby sasa zawa nyingi Dodoma


Na Mwandishi Wetu Dodoma
Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dodoma na vitongiji vyake wameanza kushikwa na kimuhemuhe cha aina yake kufuatia ujio wa mwanamuziki Diamond.
Hata hivyo katika hali nyingine Waheshimiwa mbalimbali ambao wapo mjini Dodoma kwenye mchakato wa Katiba Mpya wamepania vikali onesho hilo.
Aidha mmoja wa waratibu wa onesho hilo Boss Ngasa alisema kuwa siku hiyo waheshimiwa mbalimbali watashindana kucheza Ngororo Live na mshindi atapatiwa zawadi kwa waheshimiwa hao " Naweza kusem hii ni historia mpya Diamond atakuwa jaji kwa waheshimiwa watakaocheza vizuri viuno vya Ngororo" Alisema Boss ngasa

No comments:

Post a Comment