hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, October 1, 2014

USAGAJI WAITIKISA BONGO MOVIE, MSANII WAKE ATUHIMIWA KUONGOZA MAKUNDI YA KUSAGANA NI TRACYTRAVES TOKA TANGA..!








Na Mwandishi Wetu
Msanii anachipukia kwenye kiwanda cha bongo movie toka Mkoani Tanga Brin Ernest Moshy" Tracytraves" amekumbwa na kashfa kubwa ya kusagana na wasanii wenzake.
Habari za uhakika toka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilisema kuwa msanii huyo ambae kwa sasa yupo Jijini Dar kisanaa amekuwa na mahusiano ya karibu na wanawake wenzake kiasi cha kuzusha minong'ono kwenye jamii.

Akiongea kwa sharti la kutotajwa jina lake rafiki wa karibu na msanii huyo alisema" Jamani huyo dada tuna hisi amekuwa akijihusisha na mapenzi ya jinisia moja kwani katika maisha yake hajawahi kuonekana na mwanaume hata siku moja ndiyo maana tuna muhisi hivyo" Alisema mtu huyo
 Mtandao huu ambao ulitumiwa picha kadhaa za msanii huyo akiwa na wasichana tofauti kwa pozi tofauti, ilifanya jitihada za kumtafuta kupitia simu yake ya kiganjani na alipatikana na kueleza haya" Jamani hizo taarifa ni uongo mimi sijui hayo mambo na wala sijawahi kufanya tafadhali niacheni" Alisema msanii huyo ambae kwa sasa yupo chini ya kampuni ya mzee Magari

No comments:

Post a Comment