hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, October 8, 2014

DIAMOND AHARIBU HALI YA HEWA DODOMA, ZIKIWA BADO SIKU MBILI, DIAMOND NA WEMA KUINGIA KESHO KWA MBWEMBWE WATAPOKELEWA KWA SHANGWE KUBWA, TIKETI ZAHESABISKA..!




Na Mwandishi Wetu- Dodoma
Zikiwa bado siku mbili tu kabla ya kufikia tareh 11 ambapo ni siku ya kihistoria katika Jiji la Dodoma na tayari hali ya hewa imechafuka maelfu ya mashabiki wamepandwa na presha juu ya onesho hilo la kihistoria litakalofanyika Jumamosi wiki hii ndani ya ukumbi wa Matei Loung.
Kwa mujibu wa mmoja wa waratibu wa onesho hilo Bossngasa ambae pia ndiye mkurugenzi mkuu wa mtandao maarufu nchini wa Bossngasa alisema" Kwa kweli hali si swali katika mji wote wa Dodoma na vitongoji vyake kuna watu wameshikwa na hofu kuu juu ya ujio wa Diamond na Wema, na tayari mwanamuziki huyo anatarajia kuingia kesho mapema akiambatana na Wema pamoja walinzi wake na wacheza shoo" Alisema

No comments:

Post a Comment