hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, October 6, 2014

BALAA KUBWA, NABII JERRY ATANGAZA VITA NA WAGANGA WA KIENYEJI PAMOJA NA WACHAWI JIJINI DAR, ATOA SIKU 14 WASALIMISHE TUNGULI ZAO KANISANI KWAKE ILI ZICHOMWE MOTO, ASEMA WAKIKAIDI YATAWAPA MAKUBWA..!


 Jini linalotumiwa na wachawi pamoja na  waganga kwa ajili ya chuma ulete likiwa na pesa kibao aina ya dola mara baada ya kuzikusanya kwa watu mbalimbali wakiwemo wafanyabiasha huko Zanzibar.
 Nabii Jerry wa Kanisa la Holly Ghost Fire lilipo Mbezi Juu kwa Temba akiwa kazini kwenye moja ya maombi ya miujiza yake ya kuwaponya watu papo kwa hapo
 Mganga maarufu nchini Dokt Kamdege ambae nae ametakiwa kujisalimisha kwa Nabii Jerry ili aachane na uganga na kumrudia masihi.

  Moja ya mambo ya kutisha anayoyafanya  Nabii Jerry ili hapa alimponya dada ambae alikuwa na ukoma wa miaka 20 na kushindwa kutembea lakini baada ya maombi ameweza kutembe live bila king'amuzi

  Mapaka wanayotumia wachawi kuwalogea watoto wadogo
  Vifaa vya kichawi
 Dokta Manyaunyau ambae ameombwa kuwa wa kwanza kujisalimisha kwake kutokana na matatizo makubwa aliyokuwa nayo.
Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nabii Jerry wa kanisa la Holly Ghost Fire lilipo Mbezi Juu kwa Temba Jijini Dar ametoa mpya baada ya kuwatangazia kiama waganga wote wanaotumika kwa ushirikina pamoja na wachawi kujisalimisha kanisani kwake mara moja kabla moto wake haujatua kwenye vichwa vyao.
Akiongea na waandishi wa habari mbalimbali Kanisani kwake mwishoni mwa juma Nabii huyo alisema kuwa katika maono yake amegundua jinsi gani waganga wa kienyeji baadhi na wachawi  jinsi wanavyoaathiri maisha ya wakazi wa Jiji.
Nabii Jerry aliongeza kusema" Natamka hadharani mbele ya vyombo vya habari juu ya hawa waganga wakienyeji na wachawi nawatangazia vita juu yao na natoa siku 14 wawe wamejisalimisha mahara hapa kwa ajili kuchoma hizo tungur zao na endapo watakiuka maagizo haya basi moto wa injiili utawafanya vibaya na kuumbuka kwenye jamii" Alisema Nabii Jerry
Mtumishi huyo wa Mungu amekuwa na kalama ya kipekee huku maelfu ya wananchi wakimiminika kanisani kwake kwa ajili ya kupata msaada wa haraka, na amekuwa kati na manabii tofauti kwenye kutoa huduma ya maombi nchini kwani yeyey humuombe mtu na kuponywa ugonjwa wake papo hapo na sio longolongo.
Aidha nae Mtumishi huyo hakusita kutoa uwito kwa wakazi wote wa Jiji la Dar kuendelea kumiminika kwenye Huduma yake kwa ajili ya kazi moja tu ya Uponyaji na maombi maalum na hii ndiyo namba yake ya huduma kwa maombi 0713-976786 Na ratiba zinaanza kila siku za Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, ni saa kumi jino  na Jumapili ibada inaanza saa tatu asubuhi hasi saa saba mchana. 
Na tayari maamia ya watu wamefungulia maradhi yao hadi sasa wako huru kila hitaji kwake linafanikiwa kwa kipindi kifupi na huo ndiyo moto unavyofanyakazi kwa Mchungaji huyo

No comments:

Post a Comment