hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, September 30, 2014

OMMY DIMPOZ KUSINDIKIZA REDD'S MISS TANZANIA TALENT SHOW OKTOBA 3 NDANI YA NEW MAISHA CLUB

Reds miss tanzania talent ni tamasha la vipaji kwa washiriki wa reds miss tanzania litalofanyika ijumaa hii ya tarehe 03/10/2014 ndani ya New Maisha club iliyoko Oysterbey.Kiingilio chake ni  elfu 15,000 kawaida na elfu 30,000  kwa maisha lounge. Mmoja wa waandishi wa mtandao huu akiongea na meneja wa entertaiment maisha club Hemed Kavu (HK) alisema "pia kutakuwa na burudani mbalimbali na show kali kutoka kwa msanii wa bongo fleva ommy dimpoz kwa siku hiyo kila kitu kitakuwa tofauti kuanzia mziki utakaopigwa, stage itakayojengwa itakuwa maalum kabisa kwa ajili ya reds miss tanzania talent 2014.

No comments:

Post a Comment