hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, August 15, 2014

TWANGA PEPETA WATOA BURUDANI YA NGUVU KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

 Haji Ramadhani(wa kwanza Kushoto) akicheza na  Luiza Mbutu (katikati) pamoja na mwimbaji mwingine kwenye club ya Maisha ya jijini Dar.
Waimbaji na wanenguaji wa Twanga Pepeta wakiwapagawisha mashabiki wao ndani ya Maisha Club ya jijini Dar usiku wa kuamkia leo 
 Kalala Junior(wa kwanza kulia) akiwaburudisha mashabiki wake
 Luiza Mbutu akitoa burudani kwa mashabiki wao waliofika kwenye club ya maisha kutizama show yao 
 
 Haji Ramadhani akitoa burudani
 Ilikuwa ni mwendo wa viuno 

 Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani ndani ya Maisha Club usiku wa kuamkia leo Ijumaa
 Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka(kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwimbaji wa Twanga Pepeta Luiza Mbutu

No comments:

Post a Comment