hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, May 6, 2014

WANANCHI JIJI WAZIDI KUJIULIZA JINSI MAMBA HUYU ALIVYOTOKA MTO RUVU HADI KINONDONI ALIPITIA WAPI AU NANI ALIMLETA!




Miongoni mwa stori za town nilizozipata ni hii ya Mamba kuuwawa Block 41 Kinondoni Dar es salaam kwenye area ambayo wanaishi watu kadhaa maarufu wa Tanzania akiwemo Kalapina wa kikosi cha Mizinga, hii ni nyuma ya bestbite Mamba huyu inadaiwa alikuwa ametokea Mto Ruvu na haifahamiki alifikafikaje mjini na magaro yote.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment