hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, January 28, 2014

MCD AFARIKI DUNIA MPIGA TUMBA MAARUFU NCHINI WA TWANGA PEPETA

Mcd amefia kijijini kwao moshi anategemewa kuzikwa kesho huko huko moshi. blog hii inawapa pole wote walioguswa na msiba huu.... r.i.p Mcd.
MCD AFARIKI DUNIA...

Mpiga tumba maarufu Tanzania Masoud Mohamed aka MCD hatunae tena...Kwa taarifa tulizo zipata toka Moshi kupitia msemaji wa Twanga Pepeta Rehani,ndugu yetu MCD amefariki usiku wa kuamkia leo Nyumbani kwao Moshi baada ya kuugua kwa takribani miezi miwili...
MCD atakumbukwa kwa uwezo wake wa kuoiga tumba na kuchezesha wapenzi wa Dansi...Upole wake,kipaji chake cha kupiga tumba na uchapa kazi wake usio na kikomo unampa nafac ya kukumbukwa daima...Aliwahi kufa...nya kazi na Mashujaa Musica kabla ya kurudi african stars..
Kwa michango yote wasiliana na Lwiza Mbutu Rais wa Twanga pepeta kwa no..0787-090 090 au 0762 460 090 na 0653 797 976..
MUNGU AILAZE ROHO YA MPENDWA WETU MCD PAHALA PEMA PEPONI..
MUNGU ALITOA,MUNGU AMETWAA..APUMZIKE KWA AMANI...


No comments:

Post a Comment