hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, January 29, 2014

INASEMEKANA LAKINI: ALIYEJICHORA TATOO YA JINA LA BOYFRIEND WAKE WEMA SEPETU NDIO ANAYEJIVINJARI NA MZEE MZITO HUYO

 Katika pitapita yangu nimekutana na michoro hii kwenye sehemu ya mwili wa binti huyu mrembo mweupe mwenye asili kama ya kiarabu hivi. inasemekana huyu binti ndio yuko na yule mnene wa madam wema sepetu inasemekana lakini, sina uhakika.... waya ukavutwa na binti huyo ambaye namba yake ina tarakimu 555 sijui kati au mwisho.. sijajua nikauliza huyu kwenye picha ni wewe? akasema ndio mbona umechora hili jina wakati mie najua wewe ni mke wa mtoto wa mwanamboka? akacheka sana....... kisha akasema hayo mengine muachie baba na mama..!!!'' hii tatoo unayoona hapo ni ya mtu wangu wakaribu sana na ndio waubani wangu kwa sasa''. nikamuuliza tena kwani we ujui kama huyu ndio yule wa madam wema sepetu? akasema ''mmi sijajua kwakweli sijawahi kumuona namsikiaga tu''. baada ya kuwa nae ndio nikajua kama kumbe kuna ukweli juu ya hili swala, sasa nitafanyaje na mie nimeshazama? duuuu nikauliza tena sasa madam hajakupugia kukuulza lolote kuhusu kuwa na uhusiano na mtu wake.. akajibu... akacheka kisha akasema hayo yaishie hapa hapa ....basi mdomo koma nami nahishia hapa mengine tumuachie baba na mam.....

ila katatoo kamempendeza....
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA SIKU YA JUMATANO PATA KOPI YAKO SASA"

No comments:

Post a Comment