hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, December 23, 2013

XTREME DEEJAYZ KUTOA NYIMBO HAMSINI BORA ZILIZOFANYA POA MWAKA HUU

Wakali wa ma deejayz tanzania xtreme deejayz wanaotamba na style ya kupiga disco na drums ijuma hii watapiga nyimbo 50 zilizofanya poa mwaka huu kwa style yao ya deejayz with drums. kiingilio ni buku 10 tu new maisha club dar ijumaa hii ya mwisho wa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment