hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, December 23, 2013

MADAM RITHA SUPER STAR ALIEPATA UJAUZITO AKIWA NA UMRI MDOGO


Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi.... 

Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.

"Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza


Aliyaongea hayo katika ukurasa wake wa facebook.

No comments:

Post a Comment