hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, November 25, 2013

YALIOJIRI KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YA NIMEVURUGWA YA SNURA na XTREME DEEJAYZ

  Ilikuwa ni siku kubwa sana kwa msanii snura kuzindua video yake ya nne katika game la muziki wa bongo fleva inayokwenda kwa jina la nimevurugwa huku akipewa tafu na chama kubwa la madeejayz la XTREME DEEJAYZ umati mkubwa wa maelfu uliojitokeza kuona kideo iko kwa mara ya kwanza ulifurahishwa sana na uzuri wa video hiyo yenye quality kali na ubora wa hali ya juu, akiongea na BLOG hii ya burudani msanii snura amesema amekata kiu ya mashabiki wake waliolalamika sana kwenye video ya majanga na amefurahishwa na mashabiki hao kuipokea vizuri video yake ya nimevurugwa, nimependa sana zile shangwe baada ya video kuisha ilimaanisha kwamba wamekubali kazi yangu.alimaliza kwakusema snura.
EBU CHECK VIDEO YAKE KISHA TUPE MAONI YAKO 



 ZUNGU MNYAMA WA XTREME DEEJAYZ
 DVJ MAJAY AKIWARUSHA MASHABIKI WA XTREME DEEJAYZ
 Ktoka chanel 10 na magic fm wapenzi wakubwa wa live music wit drums DATY NA ISSA DID wakifatilia kwa makini upigwaji wa drums na zungu mnyama the drumer.
 Baunsa wa siku nyingi mwenye sharubu a.k.a teminator akifatilia kwa makini swala la usalama 
 majizo 4 shizo akifanya yake
 kiukweli siku hii ilikucha sana
 Hyperman hk akihyper ilikuwa noma sana
 zungu mnyama
 UMATI WA MASHABIKI ULIOJITOKEZA NEW MAISHA CLUB IJUMAA ILIYOPITA

 Ilikuwa shangwe la nyomi ya kufa mtu new masiha club dar
 hk
 hii style yakucheza sijui inaitwaje
Watu walipagawa sana na xtreme deejayz 

No comments:

Post a Comment