hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, November 10, 2013

UMBEA WAWATOKEA PUANI WANAFUNZI WA VYUO DODOMA WAPEMA VICHAPO VYA MBWA MWIZI, WAHAHA KUZUIA PICHA ZAO ZISIVUJE KUEPUKA FAMILIA ZAO ZISIJUE!

TIMU YA MBEYA CITY, MBUNGE SUGU WAALIKWA KWENYE SHOW YA XTREME DEEJAYZ CLUB MAISHA MBEYA, WAMACHINGA WAANDA MAPOKEZI YA KUTISHA KUMPOKEA ZUNGU MNYAMA!

Wanafunzi watatu wa vyuo vya vya Dodoma ambapo mmoja wao ni mwanafunzi wa CBE na wengine hawajajulikana, walijikuta katika wakati mgumu tena wa aibu kubwa sana baada ya kuchezea kichapo kitakatifu yani ni kipigo cha mbwa mwizi.
Ni baada ya kukutwa wanaongea habari za umbeya za kumchafua
  mh Mmoja mfanyabiashara na maarufu sana Mjini Dodoma ambaye ana jina maarufu kwenye midomo ya wambea na wadada wa Vyuoni na mtaani wanaojifanya wanafahamu watu,
 
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari na camera zetu ambazo zipo kila kona zilifanikiwa kupata umbea wa kuaminika kwa watu wa karibu wa hao jamaa waliogawa dozi, Inasemekana jamaa hao si watu wakawaida na walishatoaga kichapo ktk saloon moja maarufu kwa umbea hapa mjini Dodoma Ingawa hatukufanikiwa kupata jina kamili ya soloon hiyo ya kike na maeneo ilipo, Boss ngasa.com bado tunaendelea kufanya uchunguzi wa soloon hiyo ya wambea na tutaitaja muda si mrefu. 

Chanzo  chetu kiliendelea kutupa mtonyo Kimegundua mhe huyo yupo sana midomoni mwa watu wambea licha ya kwamba watu wengi hawamfahamu lkn wanajifanya wanamfahamu na wanaume vijana ambao hawajiamini na mademu zao kwa kugurd kutumia kuponda watu wenye uwezo wa kifedha namadaraka .
kwa umbea wao sasa imefikia kikomo, jamaa hao wapo mtaani kila kona kwa ajili ya kugawa dozi kwa wambea hao wanaomchafua kigogo huyo: USIKOSE KUFIKA VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII TAREHE 8 DESEMBA 2013 KWENYE TAMASHA KUBWA LA AMANI NA UPENDO

No comments:

Post a Comment