hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, November 14, 2013

SNURA,MRISHO NGASA MAPENZI MOTO MOTO NA KUSUKANA JUU.

 Katika hali isiyotayarajiwa mwanadada anaetamba na wimbo wake wa Nimevurugwa na majanga amebabwa live na msakata kabumbu nyota wa timu ya yanga MRISHO NGASA Akiongea na blog hii ya burudani msanii Snura mushi kuhusu kuwa na mahusiano yeye na MRISHO NGASA ALISEMA ''Mimi sina mahusiano na mrisho ngasa bali hizo picha walizozipata baada ya simu yangu ya mkononi kupotea ni kwasababu ya filamu yangu mpya inayokuja hivi karibuni inayoitwa MAJANGA YA SNURA. na si kwamba hizo picha ni za kibahaba ya kweli hapana ni wakati wakuigiza tu filamu.
mrisho akijivinjari na snura 
 ngasa akimsuka snura mushi tatu kichwa sijui au twende kilioni.
 na mabusu tenaaa mhhh kuna movie kweli hapa.....

mie simo tusubiri matokeo.

No comments:

Post a Comment