hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, November 1, 2013

MDOGO WA PASHA AFYATUA KITU KIKALI ..., CHEKI HAPA


NDUGU watanzania na mtambulisha kwenu msanii mpya wa kizazi kipya anaitwa ''Suma bianto'' ni mdogo wa PASHA kutoka mtwara.alishawahi kufanya wimbo kwa kuwashirikisha PASHA na NYASI lakini safari hii ametoa wimbo wake mwingine kwa kumshirikisha HAWA wimbo unaitwa I.M COMMING Chini ya studio za Apex. toa sapoti yako ili kufanikisha safari ya muziki wa ''Suma Bianto''. AUDIO HII HAPA CHINI







No comments:

Post a Comment