| Saa 6 usiku!Somewhere in Dar es salaam with ma producer Tudd thomass nikukuandalia mambo mazuri mapya | 
| Idea zipo nyingi kweli sijui nitumie ipi!!!! | 
| Idea iko poa,tatizo mistari haipangiki kabisaa!!! | 
| Huu mstali sijui uanze mwanzo?? | 
| .............au chorus asimamie mwangu Chegge...??? | 
| Kisula nae!!na hapa alinipiga??? | 
| Ahsante Mungu,mistari yote imesimama penyewe...ila chorus sasa | 
| Ha ha ha hivi Chegge stayle yangu na yako vinaendana kweli!!?? | 
| Tudd vipi tena!!nishamaliza ananirudisha nyumaa..ha ha ha!!!!! | 
| Saa 10 alfajiri!!Baby ananipigia akihofia usalama wangu | 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment