hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, October 10, 2013

HAYA NDIYO MATUSI YA MTOTO WA BAKHRESA AWAFUNGA MIDOMO MAPEDESHEE WOTE HAPA MJINI, ANUNUA GARI YA TSH MILIONI 800 NI GARI MAALUM KWA AJILI YAKE TU EAST AFRIKA NZIMA HAMNA NYINGINE!!


 

Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.


Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa





Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa





Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000





Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa 





Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani? 





Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam-BIN ZUBEIR

No comments:

Post a Comment