IMEBAKI SIKU MOJA
TU KABLA YA KUFANYIKA TUKIO LA KUKUMBUKWA NDANI YA CLUB MAISHA DODOMA, WAKAZI WA
SINGIDA, DODOMA, MOROGORO WAPENDA BURUDANI WAANZA KUPANDISHA HOMA, MITAMBO YA
XTREME DEEJAYZ KUANZA KUTUA KESHO MCHANA!
Na Sakina Shabani
Mmh wimbo la mastaa
wetu kuendelea kujishushi hadhi linaendelea kushika kasi kila kukicha huku
hakuna sheria zozote zinazochukuliwa dhidi yao.
Msanii nyota toka
kiwanda cha bongo movie Edward Tem "Nick" picha zake za utupu zaidi 200
zimenaswa na mtandao huu hatari wa xdeejayz zikimuonesha akiwa na wanawake
zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake.
Xdeejayz wiki kdhaa
za nyuma iliwahi kushushiwa picha za fumanizi la msanii huyo dhidi ya msanii
wake wa kike ambae alifumaniwa nae maeneo ya Kawe Jijini Dar ambapo sakata hili
liliishia kituo cha Polisi Hananasifu baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa
mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Chanzo chetu
kiliendelea kusema kuwa picha hizi za utupu zilipigwa siku nyingi kabla ya hilo
fumanizi na zimevuja kutoka kwenye kamera yake mara baada ya kupotea ambapo blog
hii ilifanya jitahada za kumtafuta msanii huyo kupitia simu yake ya kiganjani
lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana.
Msanii huyo ambae
sasa hivi ameachia filamu zake kama Bad Father,The,re ma sons, House Girl na
Boss ambapo kati ya filamu hizo moja tu ndiyo iliyopelekwa kampuni ya Pilipili
Entertainment ya Bad Father
No comments:
Post a Comment