hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, September 3, 2013

TAZAMA PICHA 20 ZA YALIOJIRI KWENYE UZINDUZI WA  THE FOOLISH AGE

Foolish Age movie premiere took place yesterday 30 August at Mlimani City, Dar es salaam, it has Elizabeth Michael(Lulu), Diana Kimaro, Jengua and Hashim Kambi in lead roles and was produced by Proin Promotions. The event was graced by many stars including Swahiliwood kings and queens.


Check out our quick take of the best and the worst dressed celebrities on the red carpet though not impressed greatly since our African fashions didn't dominate the event despite having many talented fashion designers in Tanzania but we hope next time yeees...!
Yobnesh Yusuph(Batuli) looked glamorous and sexy in this black dress, we like her hairdo and the make up too.
Sandra we think usingevaa hiyo nguo ya juu ungependeza zaidi !. Stanley Msungu you kept it simple but viatu ungevaa vya rangi nyeusi na hiyo kofia ungeacha !
Too casual mboto kama uko mtaani bwana!, Chiki hukupangilia rangi vizuri kabisa, angalia suruali yako na shati na umeongezea na kizibao cheupe na bow tie ya pink !

We like your gentleman look Tino but ingependeza zaidi viatu ungevaa vyeusi au vyeupe.
 ingawa hujasimama tukakuona mwili mzima but u looked wow... Kajala.
Too casual Ray ! kiukweli pia una-bore sana na hizo hereni zako kila eneo unazo. na style ya nywele zako kuziweka dawa muda wote unakosa mvuto mpya mbele ya mashabiki wako.

We have already seen you Wema, looked poa
ohh.. Wastara ! we think gauni lipo kawaida sana na halijakupendeza kivile ingawa tunajua unapenda kuvaa nguo ndefu. Huko shingoni na bangili mkononi ! we think usingevaa hivyo vitu zaidi kama uliamua kuvaa hilo gauni !. Fikiria kuingia gym pia maana mwili unakuja huo licha ya kujaaliwa acting talent.
Halima Yahaya(Davina)....you looked fresh, nywele na make up zimekutoa vizuri.
                                          Batuli and Halima Yahaya(Davina)
Chuchu Hans umependeza kwa juu lakini hatujaona urefu wa gauni au viatu !
ok......Shilole but kwanini hukusimama badala yake umekaaa!
Jackline Wolper...we love your sexy dress and you look fresh but hizo hereni masikioni ! plus you have gained some kilos so think about kwenda gym.
You look good Joti mpaka Sandra anataka kupiga picha na wewe lakini hiyo tie hujaiweka vizuri hapo shingoni !
mother and daughter...Natasha and Monalisa ! tumependa hizo nywele and umependeza lakini ungetuangalia basi ! halafu huko shingoni usingevaa kitu Mona!. Natasha kwa umri wako no comment....... tuseme sawa

No comments:

Post a Comment