hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, September 25, 2013

SNURA KUKATA KIU YA WAPENDA MIUNO KWENYE VIDEO YA NIMEVURUGWA

 Akiongea na blog hii usiku wa leo mwanadada snura amesema'' ataakikisha anakata kiu ya wapenda miuno wote kwenye video ya wimbo wake wa nimevurugwa'' nitawavuruga kweli na miuno mwanzo mwisho. jumatano ijayo ya tar 02/10/ nategemea kuanza shooting ya wimbo wangu wa nimevurugwa, mashabiki wangu wakae tayari kupata kile kitu walichokuwa wanhitaji kwa muda mrefu sana na walichokimiss kwenye wimbo wangu wa majanga.
 Pia ametoa nafasi kwa watu mbalimbali watakaopenda kuonekana katika video hiyo ya nimevurugwa wapige simu no 0786621193.au 0713020560.
snura mushi.

No comments:

Post a Comment