hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, September 19, 2013

JOHARI, CHUCHU HANSI KIMENUKA KISA RAY KIGOSI

 Wasanii wa filam nchini kwetu Tanzani Johari na Chuchu
Hansi wafumaniana nyumbani kwa msanii mkubwa Ray
sinza dar nchini Tanzania na Johari kumtwanga sana
Chuchu kwanini anakua na mahusiano ya kimapenzi na
mchumba wake basi johari alimjeruhi sana baada ya hapo
msanii tishio la jiji akawa amerudi ndio akaokoa ugomvi huo
lakini chuchu kaumia
CHUCHU HANSI

No comments:

Post a Comment