hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, August 5, 2013

WAKAZI WA MAGOMENI WAONGOZA KUCHAFUA BARABARA MPYA ZINAZOJENGWA ONA HAPA

 Katika hali isiyo yakawaida wakazi wa magomeni waishio katikati ya mwembe chai na kagera katika barabara ya morogoro wamekuwa sio waelewa kabisa na kutokubali wala kufata amri za viongozi wao wa mtaa,ukiangalia ukuta umeandikwa ONYO USITUPE TAKATAKA HAPA FAINI ELFU HAMSINI UKIKAMATWA  kwa kuwa kiswahili kigumu sana wao wakatupa takataka pembeni kidogo ya eneo hilo ambapo kuna ujenzi wa barabara mpya ya magari yaendayo kasi,kiukweli huu sio uugwana kabisa wakazi wa magomeni hamjafanya poa kabisa...... angalia picha zaidi......



Je jiji la dar es salaaam litakuja kuwa safi kama moshi au arusha kwa stail hii?

No comments:

Post a Comment