hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, August 5, 2013

UZINDUZI WA TAWI JIPYA LA BURUDANI MKOANI MBEYA - NEW MAISHA CLUB

 Hapa DVJ OMMY CRAYZE,HYPERMAN HK NA DJ HUNTER THE SNYPER Tar 8-8-2013 katika sikukuu ya nane nane tunazindua rasmi tawi jipya la burudani mkoa mbeya wakali mbalimbali wa burudani watakuwepo katika tawi jipya la new maisha club mbeya.
 DEEJAY HUNTER THE SNYPER
 HYPERMANH HK
DVJ OMMY CRAYZEEEE.

Mkazi wa mbeya njoo ujionee mambo ya hatari kutoka kwa vijana hawa.

No comments:

Post a Comment