hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, August 30, 2013

TAZAMA PICHA 12 ZA MCHEKESHAJI MASAI NYOTAMBOFU AKIWA KATIKA PILIKA ZA SHUTING YA KIPINDI CHA VITUKO SHOW HUKO MKOANI TANGA LEO 30/08/2013


 ''Mustapha waziri west'' Cameraman wa VITUKO SHO
 Hapo Masai Nyotambofu anatibua hakawii kucharuka!
 Masai Nyotambofu akifanya yake katika kipengele chake kama kawaida yake..

angalia zaidiiiiiii



 Kushoto ni msanii mkongwe Mwita maranya akiwa na Masai Nyotambofu wakiwajibika mbele ya Camera.
''Yosso Komando'' Camera man wa VITUKO SHOW

 Muonekano wa Camera wakati wa kazi
PICHA NA MWANDISHI WA Masai Nyotambofu

No comments:

Post a Comment