hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, August 24, 2013

SNURA KUENDELEA KUWAVURUGA MASHABIKI WAKE KWENYE KILI TOUR MBEYA LEO

 Yule mwanadada anaetamba na wimbo wake wa majanga na nimevurugwa kwa mara nyingine tena leo atapanda jukwaa la KILI TOUR mbeya katika uwanja wa SOKOINE mkoani mbeya na madansa wake mapacha wanne,mwanadada huyo ambaye ameonekana kuwa kivutio kikubwa katika matamasha hayo ya KILI TOUR kutokana na nyimbo zake na uchezeshaji wake wa kiuno stajini leo atawavuruga tena wakazi wa mbeya.Kwa kiingilio cha 2500 tu kuanzia saa 10 jioni.

 Madansa wa snura wakiwa kazini mapacha wanne
SNURA NA MADANSA WAKE MAPACHA WANNE

No comments:

Post a Comment