hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, August 24, 2013

DICETOR WA FILAMU WA KAMPUNI YA STEPS ENTERTAINMENT MTATANI KWA KUMBAKA MSANII WA BONGO MOVIE. TAARIFA YAKE NI HII OB/RB/20861/2012 /OB/IR/11918/2012 KUBAKA.XDEEJAYZ YAIBUA ISHU NZITO!


 Selles Mapunda ambae ni Scrip writer movie director   & Relation officer@ Steps Entertainment LTD ambae anatafutwa usiku na mchana na Jeshi la Polisi Kanda ya Kinondoni kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msanii chipukizi wa bongo movie aliyefahamika kwa jina moja la Nance
Selles Mapunda akiwa ofisini kwake Steps maeneo ya Kariakoo Msimbazi Jijini Dar.
SOMA ZAIDI...
Selles Mapunda na Wema Sepetu wakijadili jambo muda mfupi kabla ya kuingia lokesheni kwenye moja ya filamu za kampuni hiyo.
Selles Mapunda

Na mwandiashi wa Xdeejayz.

Blog hii ya Xdeejayz ambayo kwa sasa inaongoza kuwa na wasomaji wengi kufuatia kutaarifa habari zake zenye ukweli na uchunguzi wa hali ya juu safasi hii imenasa tukio la aibu linalomuhusu Director maarufu wa filamu toka kampuni ya usambazaji wa filamu nchini ya Steps aliyefahamika kwa jina la Selles Mapunda akituhumiwa kumbaka msanii nyota na chipukizi wa bongo muvi aliyefahamika kwa jina la moja la Nance.
Xdeejayz imemegewa taarifa hiyo toka kwa chanzo chetu cha habari toka kituo cha Polisi Oysterbay na kusema kuwa director huyo anakabiliwa na kesi hiyo ya toka mwaka jana lakini katika hali isiyotarajiwa amekuwa akiwachenga polisi usiku na mchana na hata ofisini kwake hapatikani licha ya polisi kuweka kambi ili kumtia mikononi.

Habari zaidi toka kwa chanzo hicho zilisema Mapunda alitenda kosa hilo tangu mwaka jana mwishoni mwa mwaka 
baada ya kumrubuni msichana huyo kuwa atamchezesha filamu na Wema Sepetu au Uwoya hivyo siku hiyo msichana huyo aage nyumbani kwao kuwa hatorudi usiku msizima kwa vile watakuwa na muda mwingi wa kuongea na mastaa hao kuhusu filamu.
Aidha Mapunda aliendelea kumlemba msichana huyo ambae babaake ni mmoja wa makalani Mahakama kuu ambapo alimueleza kuwa anataka kumfanya awe staa hivyo lazima awe mpole na mnyenyekevu na amkubalie chochote atakachohitaji. Ambapo alimfata msicha
Baada ya kumpakia kwenye gari Mapanda alimpeleka kwenye nyumba moja  maeneo ya Mwananyamala Kisiwani   nyumba hiyo iinamageti saba kisha ndipo alipoanza kumbaka usiku kucha pamoja kumlawiti na kumsababishia majeraha makubwa sehemu za haja kubwa.
  
Hata hivyo ilidaiwa msichna huyo licha ya kupiga kelele za kuomba msaada lakini hakuweza kupata msaada wowote hivyo alikubari matokeo tu hadi asubuhi alipokwenda kituo cha Polisi  cha CCM MWINJUMA akiwa na kakaake na kuripo ambapo alipatiwa PF3 na kwenda Hospital ya Mwanyamala kupimwa na kugundulika kuwa ni kweli alikuwa ameingiliwa.

Baada ya kutoka hospital alirejea kituo cha polisi CCM MWINYIJUMA  na kufunguliwa jarada MWJ/RB/8361/2012 ya tarehe 21/11/2012 ambayo alikwenda nayo kituo cha Oysterbay na kufunguliwa jarada kubwa lenye taarifa OB/RB/20861/2012 na OB/IR/11918/2012 KUBAKA/KULAWITI.
Aidha akiongea na Xdeejayz mpepelezi wa kesi hiyo ambae aliomba hifadhi ya jina lake kwa madai kuwa yeye si msemaji wa jeshi la polisi alisema" Mimi namsihi Mapunda alijisalimishe kama anadhani kuwa kesi ikikaa muda mrefu inakufa hilo asahau kesi yake iko pale pale hata kama amehama nyumbani kwake Kimara na kuhamia Mbagala hilo tunaendelea kuwasiliana na Polisi wa Temeke ili wafatilie kula Serikali haikimbiwi hata siku moja" Alisema afande huyo

No comments:

Post a Comment