Yule mwanadada mwenye mbuno za kutosha SNURA usiku wajana aliwavuruga wakazi wa tegeta kwa show kali sana kiasi kila aliekuwepo katika ukumbi huo wa tegeta alikubali kazi ya huyo dada kazi ilikuwa pale alipotambulisha wimbo wake mpya wa nimevurugwa kufikia sehemu ya chorus watu wote walikuwa wanaimba nimevurugwa.alipowamaliza kabisa alipopiga wimbo wa majanga na tunda man alipoingia kama suprise kumsaport dada yake snura na goma lake la dem sio swangwe ziliongezeka zakutosha sana.
SNURA,TUNDAMAN
SNURA
TUNDA MAN akiamsha na miuno ya snura live kwenye stage
Ndio yuleyule wa NAI NAI na BAADAEeeee full kaladi ilikuwa hatari sana club 71
mtu mzima anatunza huku mkono kumpuuuuuuu.............mbu
miuno miuno
mashabiki mbalimbali wakifurahia show ya snura
Mchizi kavurugwa na show ya snurakaamua kukaa chini kabisa duuu
h-MBIZO Akiwakilisha kwenye stage
Mtu mmoko hilali HAKUNAGA alikuwwepo kutoka kariakoo mpaka tegeta kuangalia show ya SNURA
ilikuwa hatari sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
No comments:
Post a Comment