hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, August 25, 2013

SEREBUKA YA DOGO JANJA YAFANYA VIZURI KWENYE TOP 10 ZA NEW MAISHA CLUB DAR

Ule mzigo mpya wa dogo janja a.k.a janjaro SREBUKA unafanya poa sana katika top 10 za new maisha club dar akiongea na DJ ALI B Alisema ngoma hiyo iko vizuri sana kwa upande wa club inakubalika saana na inashoka namba tatu sasa katika top 10 za new maosha club ambazo zinafanyika kila siku ya jumapili.

No comments:

Post a Comment